Hakuna ramli hapo, maigizo wazi kabisa.
Hakuna ukweli hapo. Anapata show ngapi kwa mwezi na sh ngapi analipwa kila show.Mkuu nakubali inawezekana tena labda katoa zaidi ya hiyo Ila kapunguza
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa anapata usikatae kwenye harusi peke yake ili kumpata Kama MC ada yake chini kabisa Ni milioni 1.8 na kwa mwezi hakosi 4 au 5 apo bado kwenye comedy.Hakuna ukweli hapo. Anapata show ngapi kwa mwezi na sh ngapi analipwa kila show.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya bongomovie huyajui mkuuHakuna ukweli hapo. Anapata show ngapi kwa mwezi na sh ngapi analipwa kila show.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mgogo ujue ndio first time kaingia kwenye mapenzi na kazama maxima hataki kuchomoka hahahahahahahkumbe ajapiga haaa yani anaoa bila kupiga uyu jamaa ana akili kweli uoe bila kupiga wakati wenzie tuna piga na kutia mimba ndo tunaoa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vimechoka kuliwa kihasara hasaraSema videmu kama hivi vipo vingi sana kimoja kinasema hadi niksjitambulidhe ndo kitoe penzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaogopa zinaaHajawahi kumgusa na demu hana bikira?
Huu ujinga unapatikana kwa wanaume wa Dar tu.
Watu wa mkoa wakijaga dar wanakuaga na kaulimbukeni fulani
Mili 8 hii nnayoijua ama ni masifuri mbele??
huku kitaa msela kaoa kwa wali chainizi!