MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

kumbe ajapiga haaa yani anaoa bila kupiga uyu jamaa ana akili kweli uoe bila kupiga wakati wenzie tuna piga na kutia mimba ndo tunaoa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mgogo ujue ndio first time kaingia kwenye mapenzi na kazama maxima hataki kuchomoka hahahahahahah

Kuna kajumba anaishi mama yake hakana hata tiles chini halafu anamlipia demu m8

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya maigizo ni mateso, ndoa kama hizi huwa zinapita kwenye changamoto kila wakati maana inaonekana hata demu nae ni mtu wa showtime.
 
Back
Top Bottom