MC Pilipili asema mahari ya mchumba wake ni milioni 8

Kwani Mc pilipili mbuzi, ni bikra? Na huyo demu wake bikra?

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Nasikia harufu ya kutatuliwa mtu marinda aisee....
 

Hataniangusha Pilipili, Mdada ndie atamuangusha and God forbid we should expect more tears kama hana mapenzi ya dhati na yeye.

But you know what it is so, Karma will have to intervene for Pilipili.

All we can do right now is hope that it is all genuine.
 


Hii mbona iko wazi kabisa ... kulia tuu inaonyesha udhaifu mkubwa sana kwa bwana mc. Yule mwanamke atamsumbua sana kijana wa dodoma maaana inaelekea jamaa katuma nguvu kubwa mnoo kulazimisha ndoa kwa mwanake wakati mwenzake sura inaonyesha hana fellings hata kiduchu .. atapata tabu sana .
 
dah jamaa noma hajamvua chupi mpaka leo.

mc pili pili bado anakauchildish flan.

au bado.anakaushamba flani lakini ni kawaida ya wagogo wanatabu sana
 
Kweli jamaa mpuuzi kweli....
angeonja kwanza hajui kuna mademu wana K mbovu...ukipiga mara moja hutamani kurudi!?
 
Duuh mbunye ilishatumika na bado mahari milioni 8? Aiseee wazazi wamepata bahati.. Hapo bado hajajua km yaliyomo yamo, ni hapo atapoenda kukutana na Mtera, abaki kuwa mhenga asieishiwa msemo.. # mtoto wa kike hazina ndogo
Sio mbunye tu.... unaweza kuta hata rinda lilishakatwa....siku nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…