MBIIRWA
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 2,634
- 5,373
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje Kama mbunye yake ishatumika?Duuh mbunye ilishatumika na bado mahari milioni 8? Aiseee wazazi wamepata bahati.. Hapo bado hajajua km yaliyomo yamo, ni hapo atapoenda kukutana na Mtera, abaki kuwa mhenga asieishiwa msemo.. # mtoto wa kike hazina ndogo
Hii sijuwi kama itatimia. Au kama itadumu.
Naona kama kuna maigizo fulani hivi.
Sikuwa nimepita hapa rafiki.
Unatumia kilevi gani?Milioni 8 kwani ina bluetooth au inaimba blues ikiwa inasuguliwa.
hiyo hela angempa mama yake kijijini angeombewa kila dua la heri kuliko kumlipia mtu ambae kuna masela walishabanjuka nae kwa chupa ya togwa tu.
Na hapo katoa milioni 8 lakini hajaionja anasubiri ndoa kwa mujibu wa maelezo yake. Sasa subiri aende huko hiyo siku ya ndoa akute ana ukuni kama wake, nahisi atalia mara mbili ya siku ya kumvalisha pete.
All in all hongera zake.
Fundi nasikia ulitoa mahari mil 12Aiseee
Hahahahaha kama katoa kweli milioni nane MC PILIPILI kapigwa vibaya sanaSikuwa nimepita hapa rafiki.
So mnataka kusema lile chozi ni kuwaza hela yake?
is this meant to be a question, compliment or insult? Either way none.Unatumia kilevi gani?
Hahahahaha kama katoa kweli milioni nane MC PILIPILI kapigwa vibaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaliwa kivipi mkuu? Nadhani mtu pekee wa kuona value halisi ya huyo demu ni Pilipili mwanyewe.Hahahahaha kama katoa kweli milioni nane MC PILIPILI kapigwa vibaya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
MSHAMBA HUYO HYO MILION NANE NI YA BIA TU NA KUCHUKUA MALAYA USIKU MMOJA ANALETA MBWEMBWE NGOJA NIMGONGEE KWANZA HAKO KABINTI SURA PESA HYOKwahiyo hiyo mil 8 ndiyo ilisababisha alie?
Pumbaaavu kabisa. Ulimbukeni wa kishamba
Sent using Jamii Forums mobile app