Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mmh!!Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.
Amesema kwa sasa yupo na Pacome.
Tumuombee arudiane na mkewe. View attachment 2926310
Ujumbe ni kwamba keshaachana na mwanamke aliyemfilisi.Mmh!!
Anatuma ujumbe gani?
Kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo taasisi ya ndoa inazidi kupata pigo kubwa na inazidi kuelekea kibra.Ujumbe ni kwamba keshaachana na mwanamke aliyemfilisi.
Hayupo katika ndoa, ni single daddy.