Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Tulijua hili lingetokea. Mwamba alionyesha wazi kua yeye ndio kampenda zaidi mwanamke kuliko mwanamke alivyompenda yeye.

Alionyesha wazi kua yeye ndiye aliyekua anahitaji sana ndoa kuliko mwanamke alivyokua anaihitaji. Kwa kifupi tu ni kwamba he was a simp! Women never get along with simps!!!
He made the worst mistake of all, simping, hapa mwanamke hakuachi salama
 
Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.

Amesema kwa sasa yupo na Pacome.

Tumuombee arudiane na mkewe. View attachment 2926310
Na huku moto umepamba moto 👇
 
Na huku moto umepamba moto 👇
Wahuni nao wamepamba moto 😂😂
 
Back
Top Bottom