Theironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 336
- 903
Kwan garab hajaoa?Huyu alishindwa kuwekeza zama zake. Kapata sana hela miaka ya 2015 mpaka 2018... yeye alikuwa Mc mkubwa sana. Na u mc wa harusi ni kazi inayoleta hela nyingi ndani ya siku moja.. ukichanganya kazi za mwezi mzima kupata milioni 10 ni rahisi sana.
Pia standy up comedy amefeli sababu hakuwekeza pia kwenye ujuzi zaidi. Wamekuja vijana wapya wamempita sokoni.
Ma Mc wenzake wana maisha mazuri sababu wanawekeza. Hela hawachezei.
Garab alivyotoboa tu hakurudi nyuma tena.. kila mwaka anajenga appartments tu.
Pia ukiwa na hela hupaswi kuoa kizembe zembe hajaona mfano kwa MC mwenzake Garab.
Ana mke na watoto kadhaa
Afu nn maana ya apartments?samahani kuuliza