Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rule no.1Ndoa hizi? Mungu atusaidie tu. Wala sio mambo ya kuchekana.
Mshamba sana nilijua aka 3 tu hatoboi. Stupid Punk!!!He made the worst mistake of all, simping, hapa mwanamke hakuachi salama
Hakutaka kusikia acha yamkute siku ya harusi yake Mama yake alifariki bado akawa kichwa ngumu
Mke wake ni M cute😍😍. Warudiane tu
Ni kweli ila huyo anayependa zaidi awe mwanamke na si kinyume chake. Wanawake hawapendi mushy males kama ilivyokuwa kwa MC chilli sauceNdoa siyo mbaya ukipata mwenza anayekupenda kuliko wewe unavyompenda...na wewe unayependwa uwe unajua thamani yako kwake. Vinginevyo mtaishia kulaumiana tu - especially nowdays!
Huyu fala hakuishia kupigia goti chupi bali aliililia chupi kabisa😂😂😂Sikuiz kuna wanaume wanapigia goti chupi wakati wa pete
🤣🤣🤣🤣Aisee jamaa alifeli kichizHuyu fala hakuishia kupigia goti chupi bali aliililia chupi kabisa😂😂😂
Myahudi vipi?Niiiiifaaaahhhhh💘❤
NDoa ni utapelii ulio changamka, ogopa mkataba batili
Kivipi.....anaendana na nani......wanawake bhana 🤣🤣🤣Ila yule dada haendani kabisa na jamaa