Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Wanawake wanapenda kuolewa na mme strong sio lizi lizi! kama jike jike hivi!
Security ni kitu muhimu sana kwao!(ndo mana wanawake hawajawai kuwa na iman na wanaume weupe sana suala la mme zaidi ya selfie.)
Ukiona mwanamme anapiga magoti kuvisha mke pete jua hiyo ndoa imetanguliza mguu wa kushoto!
Mwanamme huitaji kuoa mwanamke unaye admire mno had analijua hivyo!
Oa tu mwanamke rafiki mnayeelewana lugha!
Nyote mkiamini kila upande una bahat kuupata mwingine. la, anayezimikiwa ataamin alikosea akababatizwa!
Hatakuwa makin kutopoteza
 
Back
Top Bottom