Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kwahiyo missy unanishauri hata mm niwe mkali kwa mchumba wangu.Mwanaume fulani hivi mkali ambaye atamdhibiti
Mc pilipili alionesha udhaifu kwanzia mwanzoni kabisa
Nisiwe nice boy sana.
Nisiwe najali sana