Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Huyu naye ni Mpolipoli tu hivi unafilisiwa vipi na Mwanamke halafu unasema kwa Sasa upo na Pacome? Yaani Ma celebrity wengi Wana Msongo mkali sana wa mawazoBaba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.
Amesema kwa sasa yupo na Pacome.
Tumuombee arudiane na mkewe. View attachment 2926310