Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.

Amesema kwa sasa yupo na Pacome.

Tumuombee arudiane na mkewe. View attachment 2926310
Biblia 1 Petrol 3:7 inasema waume waishi na wanawake kwa akili.Kigezo kikuu akili

Kwenye ukristo mwanaume yeyote anayeoa kigezo kikubwa ni kuwa na akili.Mwanaume asiye na akili hawezi ishi na mke kwenye ndoa.Na ndio maana hadi sheria ya ndoa inasisitiza muoaji awe na akili timamu.Huyo hana akili timamu

MC Pilipili kushindwa kuishi na mke ni ushahidi tosha kuwa hana akili kabisa kichwani ya kuishi na mke kama Biblia inavyoagiza 1 Petro 3:7

Ndio maana hata wale wakataa ndoa wote wanaangukia hapo kuwa hawana akili za kuishi na mke

Wawezao kuishi na mke ni wale wenye akili nyingi tu .Wajinga wasio na akili kichwani ambao bichwa wamebeba kama boga tu hawawezi kaa na mke wawe wachungaji au maaskofu au mashehe au maimamu nk
 
Comment zetu wanawaume wa jf 👇

"Jamaa alikua anajifanya anampenda sana huyu mwanamke"

"Jamaa alifanya wengine tuonekane hatujui kupenda au hatuna wake, tulikua tunamwangalia tu"

"Unampigiaje magoti mwanamke, lazma akunyooshe"
 
Tulijua hili lingetokea. Mwamba alionyesha wazi kua yeye ndio kampenda zaidi mwanamke kuliko mwanamke alivyompenda yeye.

Alionyesha wazi kua yeye ndiye aliyekua anahitaji sana ndoa kuliko mwanamke alivyokua anaihitaji. Kwa kifupi tu ni kwamba he was a simp! Women never get along with simps!!!

Meaning of simp in Englishsomeone who tries too hard to do what another person wants, especially in a romantic relationship. Kwa faida za wasomaji.
 
Tulijua hili lingetokea. Mwamba alionyesha wazi kua yeye ndio kampenda zaidi mwanamke kuliko mwanamke alivyompenda yeye.

Alionyesha wazi kua yeye ndiye aliyekua anahitaji sana ndoa kuliko mwanamke alivyokua anaihitaji. Kwa kifupi tu ni kwamba he was a simp! Women never get along with simps!!!
Vocla kama vocal fremitus
 
Comment zetu wanawaume wa jf 👇

"Jamaa alikua anajifanya anampenda sana huyu mwanamke"

"Jamaa alifanya wengine tuonekane hatujui kupenda au hatuna wake, tulikua tunamwangalia tu"

"Unampigiaje magoti mwanamke, lazma akunyooshe"
Evelyn Wewe ni Mwanaume?
 
Tulijua hili lingetokea. Mwamba alionyesha wazi kua yeye ndio kampenda zaidi mwanamke kuliko mwanamke alivyompenda yeye.

Alionyesha wazi kua yeye ndiye aliyekua anahitaji sana ndoa kuliko mwanamke alivyokua anaihitaji. Kwa kifupi tu ni kwamba he was a simp! Women never get along with simps!!!
Hakika mkuu
Ukishaweka ndoa yako mitandaoni ujue hiyo ndoa inaenda kwenye life support machine. Bado Manara.
Hatumuombei ila kayataka mwenyewe
 
Back
Top Bottom