Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Ndoa siyo mbaya ukipata mwenza anayekupenda kuliko wewe unavyompenda...na wewe unayependwa uwe unajua thamani yako kwake. Vinginevyo mtaishia kulaumiana tu - especially nowdays!
Ni kweli ila huyo anayependa zaidi awe mwanamke na si kinyume chake. Wanawake hawapendi mushy males kama ilivyokuwa kwa MC chilli sauce
 
Back
Top Bottom