Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Sijawahi fuatilia maisha yake, ika kwa juu juu kosa alilifanya, ni kumuonesha mkewe anampenda saana, yani kifupi jamaa alikuwa hajiwezi kwa mkewe ni yeye ndio alikuwa anatumia nguvu nyingi kwenye penzi.

Mwanaume unapaswa kuwa jitu la mtumba hueleweki, yaani siku ukiamua bembeleza, unabembeleza na kupet pet mpaka anakuona bushoke, siku ukiamua uso wa mbuzi, inakuwa mbuzi kweli mpaka anajiuliza ndio huyu huyu anaenipet pet mimi. Ishi kwenye misimamo.

Wote wanaoishi hivi na wake zao lazima liwakute jambo, mwanamke hatakiwi kujua hisia zako 100 kwa 100 abali anahisi hisi tu.
Shida alimu expose mke wake kwa matajiriiiii 😅😅😅 alafu siku nikaona anahojiwa na clouds anasema mimi ni nani??? nisiwe na mwanamke mzuri, kwani nini wawe matajiri tu.....hapo ndiyo alipo tangaza vita na matajiri.....

Mange kimambi aliwai linanga hili penzi na kusema demu naye ni kinuka chupi graduate kakutana na Mc wa kuja mjini hana hata krismas mbili dar 😅😅😅😅

Vijana wenzangu tajiri akiamua kuchukua mke wako huna la kufanya.
 
Shida alimu expose mke wake kwa matajiriiiii 😅😅😅 alafu siku nikaona anahojiwa na clouds anasema mimi ni nani??? nisiwe na mwanamke mzuri, kwani nini wawe matajiri tu.....hapo ndiyo alipo tangaza vita na matajiri.....

Vijana wenzangu tajiri akiamua kuchukua mke wako huna la kufanya.
Pesa ni mwanaharamu.
 
Huyu alishindwa kuwekeza zama zake. Kapata sana hela miaka ya 2015 mpaka 2018... yeye alikuwa Mc mkubwa sana. Na u mc wa harusi ni kazi inayoleta hela nyingi ndani ya siku moja.. ukichanganya kazi za mwezi mzima kupata milioni 10 ni rahisi sana.

Pia standy up comedy amefeli sababu hakuwekeza pia kwenye ujuzi zaidi. Wamekuja vijana wapya wamempita sokoni.

Ma Mc wenzake wana maisha mazuri sababu wanawekeza. Hela hawachezei.

Garab alivyotoboa tu hakurudi nyuma tena.. kila mwaka anajenga appartments tu.

Pia ukiwa na hela hupaswi kuoa kizembe zembe hajaona mfano kwa MC mwenzake Garab mwanamke aliyemuoa yukoje.

Kaoa mhaya mwenzake mtoto wa msomi mambo safi Dr wa udsm.

Mwanamke tu anatoka ukoo wenye connection wa kazi za harusi kubwa.

Daaa hatari sana.

Mke anatoa connection mzee anamalizia safi sana
 
Maji maramoja yule Filomena, chuo alikua anaishi na Godfrey kama mume na mke, kwahio Kwa mc pilipili ilikua ndoa ya pili.

Kipindi anaolewa tulimcheka Sana Godfrey, na kiukwel walikua wnapendana. Ingawa Kwa Sasa Jamaa yupo SGR, kama Site Engineer.

MC pilipili heri amemrudishia mshikaji manzi wake.
Filomena dada yako,mi naitwa cute mena sawa?
 
Back
Top Bottom