Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Maji maramoja yule Filomena, chuo alikua anaishi na Godfrey kama mume na mke, kwahio Kwa mc pilipili ilikua ndoa ya pili.

Kipindi anaolewa tulimcheka Sana Godfrey, na kiukwel walikua wnapendana. Ingawa Kwa Sasa Jamaa yupo SGR, kama Site Engineer.

MC pilipili heri amemrudishia mshikaji manzi wake.
Jirani una ubuyu mzito na hujanipa?? Nafuta ujirani na wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jirani una ubuyu mzito na hujanipa?? Nafuta ujirani na wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kale kalisoma Education, chemistry with computer science, sie tulikua Mechanical Engineering na Jamaa yake Godfrey. Kiukweli nafahamu kama washkaji 3 waliokapiga kabla hakajasetle na mshikaji kama mke na mume.

Halafu kanapenda sana EngineersπŸ˜…πŸ˜….
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahiyo kilianza kitambo kufumuliwa mixer mitungo??
 
Sasa kuoa labda jiolee kanesi Hilo.ila Mambo ya kuoa pisi Kali dar kuna wahuni wanahela jaman .siku moja nilienda na demu ni mshikaji wangu Tu na Malaya wa kitambaa ila ni pisi balaa.mtaani sinza hata elfu 20 kimoja unakula .mm ushkaj ndo ananipaga Hadi bure ila ndo .

Nlipiga zangu bia the hood pale sinza ghafla kuna kaudalali nilimsaidia Jamaa kupata nyumba bei ya kutupa akanirushia laki 3 nkasema am back Maza Fala.
Nikamchukua huyu demu nikasumbue mjini nkawasha ki alteza changu huyooo Hadi Tiffany hotel ndo wanakokaaga hawa washenzi.
Basi kwa kuwa nimelewa nkawa na mahaba Niue na huyu demu ila tunajuana anaiunganishiaga.
Asee kuna Jamaa anaitwa sanga ni billionaire kumbe kamuelewa .sasa akiniangalia nimekula pamba na nimejipinda vichupa vya wine za laki laki viwili meza full iced akajua mwamba mwenzie kumbe naishi geto la laki 2 sinza mwee.
Basi nkahisi wahudimu wanamaagizo maana wanasogea Sana .nkaamua kugeuza fursa nkawa namwita wife .wakimnongoneza napiga biti macho mekundu ka savimbi.demu nkamwambia skiza hapa naenda choon ila chukua dau la kunikimbia uniambie yangu ngap.huwez amini sanga alitoa mil 1.5 ili akamle kimoja(Kula jicho) sijui kwa nini jaman
DADA ZETU KIMBIEN MATAJIRI HAWATOMBI WANAFIRA TUU
List ipo ya matajir sitotaja Hadi hawa wamipira mmoja na Yule wa mabasi
Tuendelee..asee nkamwambia changu laki 5 akakubali nkajifanya nimezima demu kaenda liwa karudi .
Alipofika nkachikua Mia tano(asubuhi nligundua alinipa Mia nne ) nikawa namuangalia sanga ananiangalia jicho la kunifharau kumbe na mm namdharau .nkamaliza wine nkarudi Kula bia za vigrocery vya mashangingi kinondoni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahiyo ukajichukulia mgao wako??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwahiyo kilianza kitambo kufumuliwa mixer mitungo??
Ona unavyopenda hizo storyπŸ˜…πŸ˜…. Jirani next week pls tukapate dinner paleee samakisamki Mlimani city ili unikampani.

Lakini hivi nikweli juice ya watermelon kuuziwa elfu 5 grass Moja?. Ina kipi cha special?, bei za samaki samaki kwa ww mkinga huziwezi.πŸ˜…
 
Jirani na wewe mdau wa mcity?? Hivi mnapapendea nini wana JF πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jirani na wewe mdau wa mcity?? Hivi mnapapendea nini wana JF πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimeanza kwenda February ya mwaka huu pale, sema Huwa nakaa kaa pale mida ya jion hasa weekend au Pale instanbul, nimevutiwa tuu sielewi Kwa nn sehemu nyingine unakuta Fujo nyingi lkn pale angalau watu wametulia wanapiga story nawatu wao huku washushia kinywaji(Mie sinywi). Next weekend twende jirani.πŸ˜…πŸ˜…
 
Back
Top Bottom