Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Basi ndiyo watadanga hadi uzeeni......Hivi bella mpanda ile mimba ni ya jack??Shule sio kwa kila mtu. Na maisha waliyoyachagua shule hawawezi wale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ndiyo watadanga hadi uzeeni......Hivi bella mpanda ile mimba ni ya jack??Shule sio kwa kila mtu. Na maisha waliyoyachagua shule hawawezi wale
Alimuoa kipindi anakaa Mitaa ya Rufiji pale Mwanza..au wakati huo bado alikuwa Machafuchafu..Mabula nina crush ane basi tu alimuoa dada wa mtu ninaemjua ilaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watz weng hupenda mambo ya kipuuz ..ukiangalia humu thread nying n za kipuuz chache za kujengaHizi habari zina faida gani kwetu
Bella Mpanda ana mimba? Maisha yanaenda kasi sana. Jack Pemba kwani walikua serious hivyo? Unaweza kuta ya Luteni Kalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi ndiyo watadanga hadi uzeeni......Hivi bella mpanda ile mimba ni ya jack??
Bora anaewavalisha Nicole alikua anashona nguo sare na watoto wa Kingu [emoji23][emoji23]
Hahahahaha anasema ni ya mkaka.mmoja eti sio jack alivyokuwa anajishauaa sasa na hiyo party yake mxiewwwBella Mpanda ana mimba? Maisha yanaenda kasi sana. Jack Pemba kwani walikua serious hivyo? Unaweza kuta ya Luteni Kalama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati ni meya ndo alimuoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alimuoa kipindi anakaa Mitaa ya Rufiji pale Mwanza..au wakati huo bado alikuwa Machafuchafu..
Hahahaaaaa.. itakua kweliHahahahaha anasema ni ya mkaka.mmoja eti sio jack alivyokuwa anajishauaa sasa na hiyo party yake mxiewww
We dada una majivuno kama vile ni mzuuuuri na mambo safiiiii!! Anyway ni maoni yako.Alafu kingu mwenyewe jamani unajuaa simuelewagi yaan huwa hanishawishi bora hata yule mabula wa mwanza naweza kucatch grenade for him ndo type zangu zile na marehemu philip njombe hata heche piaa lol
Waswahili wanajua sana kuoanisha na wakilipata file lako utapenda!kama duh kama ndo hivyo basi Mamy Baby wa Clouds si atakua na bahari tena Atlantic hahahahahahah
Avatar yako imenivutia mnooo!Unamtaka kimapenzi au alishawahi kukuonja?
Kilaa mtu na anachokipendaa ndio simpendi hujaona nilio wataja hapo???hebu kwendaga huko hamna mwanamke mbayaaa kwa taarifa yako as longer as engine inafanya kazi juaa kuwa mi mzuriWe dada una majivuno kama vile ni mzuuuuri na mambo safiiiii!! Anyway ni maoni yako.
Uandishi wako sio mzuri bebiiiii!!Kilaa mtu na anachokipendaa ndio simpendi hujaona nilio wataja hapo???hebu kwendaga huko hamna mwanamke mbayaaa kwa taarifa yako as longer as engine inafanya kazi juaa kuwa mi mzuri
Kuwa makiniAvatar yako imenivutia mnooo!
Kwan kuna mtu anatisahihishiaa hapa??hebu niache bwana naonaa unataka niharibiaa weeknd yangu........Yes mi mbayaaa ,have a nice dayUandishi wako sio mzuri bebiiiii!!
Come on!! Hutaniwi mrembooo!!Kwan kuna mtu anatisahihishiaa hapa??hebu niache bwana naonaa unataka niharibiaa weeknd yangu........Yes mi mbayaaa ,have a nice day
Kuhusu nini?Kuwa makini
Itakutokea puani na makalioniKuhusu nini?