better parker
Senior Member
- Jul 26, 2016
- 166
- 103
Naa tv za usa zina copy toka Jupiter comedy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"
Mhh, ina maana hakunaa ubunifu kabisa kwa waigizaji wa AfrikaNa TV za Ghana zime copy kile kipindi USA
Tukishatoka kaziniHuo muda wa kuangalia TV1 na kuanza kuchekeshwa mnapata wapi?.
Asante mkuu, siku gani (samahani lakini )inaoneshwa ntv mkuu
jumapili kiongozi....Asante mkuu, siku gani (samahani lakini )
Asante sana mkuujumapili kiongozi....
ile channel iko karibu sana na hii show.....sometimes utaona mpaka interviews za ma comedian ..
pia waweza angalia shows kupitia website yao
www.churchill.co.ke
Huwa naona bora kumuangalia mpilipili na vyake vya kucopy kuliko wale jamaa wa futuhiTanzania stand up comedy MPOKI tu wengine hakuna kitu kama huyo piliSQUARE bora angeendeleza uticha tu angepata hata mafao mauzuri PSPF
Huwa naona bora kumuangalia mpilipili na vyake vya kucopy kuliko wale jamaa wa futuhi
Churchil show..ndo show bora zaid ya vichekesho EA wengine hawa wanajichekesha wenyewe
Show za comedy ni Churchill, na original comedy, kuna binti sijui wa Uganda yulee. Wengine haswa hawa wa EA TV ndio wananikera sanaaa. Bora wote wafanye singeliChurchil show..ndo show bora zaid ya vichekesho EA wengine hawa wanajichekesha wenyewe
Na TV za kenya zina copy katika TV moja ya Ghana
Kenya wapo vizur sana kwenye sanaa za majukwaani, na ni wabunifu pia,Churchil show..ndo show bora zaid ya vichekesho EA wengine hawa wanajichekesha wenyewe