chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 212
Kwani ni msanii au ni MC?Well said
Huyu jamaa sio msanii anaforce kabisa yan
Nilidhani ni mimi tu kumbe na wengine mnaliona hilo, sasa kuna huyo pilipili na msanii mmoja anajiita steve nyerere huyu yeye bora abaki kuigiza sauti za watu ile.kwenye kuigiza ndio simuelewi kabisaaKuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
lol, akikujibu, nitagKwani ni msanii au ni MC?
kwani ameanza kuchekesha????[emoji23]
Idris Afanye Mambo Mengine, Ila Kwa Mc Pilipil Mh Ngoja Nitafakari Sijaona AnapokoseaHaha hata idris sioni anachofanya kwenye stand up comedy..
Povu ruksa
Acha Roho Mbaya Kwa Hiyo Bongo Hamna Mchekashaji?Mi nimezoea kuwaangalia kina eddie grifen kina chris rock ,nkiangaliaga hiz za bongo/africa naonaga takataka..ni sawa nakuangalia 24hrs na muvi za kina rey,pumbavuuu,..
True.!! Mi mwenyewe huwa cmuelewi kbsa infact ukwel unaumaKuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.