UKO SAHIHI BADO KIJANA AANGALIE FURSA NYINGINE, TUTAMUUNGA MKONO.Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
Alisoma Eckernforde Tangakwa hiyo bora arudi kwenye kazi ya ualimu
Tz Mpoki kidogo anajtahid akiamua kufanya serious.Hata kazi ya kuwa Mc anaforce tu, haiwezi!
Yote kwa yote Tz hamna stand up comedy..
Kinachowa cost hawa ma celeb wa kibongo ubunifu ni sifuri ni watu wa kucopy copy sana hawajui ili ukubalike unabidi uwe mbunifu lakini pia ushamba mzigo pilipili ni bonge la mshamba ukiangalia video zake akiwa uko usA mpaka aibu
Kiukweli nilishawahi kuhudhuria harusi moja hv jamaa alikuwa ndo mshehereshaji...kwakweli ukumbi mzima ulikuwa hauna mbavu kwa vituko vyake....naheshimu mawazo yako ila ilikupasa ujiangalie wewe kwanza una hobby na hvyo vitu...coz kuna watu wanasema Mr bean ni mkali wa vichekesho ila kuna wengine hawamkubali...mf mm huwa siwezi kukaa hata dk 5 kuangalia bongo movie..lkn kuna watu ndo movie wanazozipenda...so inawezekana pilipili kuna vitu anavifanya au kuongea lakini wewe huelewi...ila wanaomwelewa wanaona wanapata burudani...km ameweza kupata mialiko hadi ughaibuni basi jamaa mkali...Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
hela za BBA zimeisha kwani??Na idris sultan pia ... Analazimisha fani
bambo ana kingwendu?? uko serious kweli mkuu?? hao wanabana pua hawabadiliki commedy hawajuiNchi hii comedian naturally ni Mpoki, joti, Bambo na kingwendu tu..wengne cjui wanachofanya
Da Mkuu umenena sana million 600 awe mtangazaji?Huyo idriss nae kafulia mpaka huruma yaani mtu upewe 600 millions na fame alafu mwishowe ugange njaa kwa kubaka talent za watu na kutangaza viredio vya vichochoroni?
Kuna mdogo alikua wa tatu ku perform yuko vizuri sanaMkuu futa kauli kabisa ,Kiukweli MC pilipili kwenye show ya Leo amevunja watu mbavu,Jamaa yupo vizuri sana kwenye stand-up comedy show ya Leo ameitendea Haji....Wasaka Tonge.....Wasanii wa bongo wapo vizuri,tuwatie moyo wanaweza.