Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Lachaz ndo nini na sisi wa mikoani tujue.Kajamaa kashamba sijui kalizoea mademu wa lachaz maana kama kawehuka na demu yeye kamuona mkali wakati hana ukali wowote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lachaz ndo nini na sisi wa mikoani tujue.Kajamaa kashamba sijui kalizoea mademu wa lachaz maana kama kawehuka na demu yeye kamuona mkali wakati hana ukali wowote
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji2962][emoji2962][emoji2962][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hana hamuView attachment 990522
La Chaz ni Pub/Bar ya Chalesi HilaliLachaz ndo nini na sisi wa mikoani tujue.
Wakuu
Kamati ya wana apolo imekaa na kujizatiti kumfundisha adabu mc pili pili kwa kufanya makosa yafuatayo
1.kutangaza mahari ya mchumba wake kua ni milioni nane ambazo anaona ni nyingi na tena anadaiwa hizo milioni tatu
2.kitendo cha kulia hiki kimefanya kikao chetu kuamua na kuazimia yafuatayo.
Kwanza inabidi mtoto yule apate mwana apolo ili atulie, hivo huyu jamaa hafai kukaa na ile shepu maana atakua analia kila siku.
Aendelee kufanya media tour maana iko siku atazunguka peke yake kwenye hizo media huku mtoto akiwa na wana apolo.
Mtoto mzuri yule anatakiwa apate mwanaume na sio mtoto wa kiume kutoka Dodoma.
Ila hiyo kanzu jamani, hata jicho la mkewe mtarajiwa halikuiona kabla ya kujongea mbele ya makamera!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hana hamuView attachment 990522
Atapata tabu sana.kumgegeda kama.kweli alilia akimaanisha
Nikiwa kama Mjumbe hii imepitishwaWakuu
Kamati ya wana apolo imekaa na kujizatiti kumfundisha adabu mc pili pili kwa kufanya makosa yafuatayo
1.kutangaza mahari ya mchumba wake kua ni milioni nane ambazo anaona ni nyingi na tena anadaiwa hizo milioni tatu
2.kitendo cha kulia hiki kimefanya kikao chetu kuamua na kuazimia yafuatayo.
Kwanza inabidi mtoto yule apate mwana apolo ili atulie, hivo huyu jamaa hafai kukaa na ile shepu maana atakua analia kila siku.
Aendelee kufanya media tour maana iko siku atazunguka peke yake kwenye hizo media huku mtoto akiwa na wana apolo.
Mtoto mzuri yule anatakiwa apate mwanaume na sio mtoto wa kiume kutoka Dodoma.
Mwanamke akishajua unampenda mia mia lazima aanze kuzingua! Ubaya mwanaume hawezi vumilia mizengwe siku zote!Na yametimia
hahhahaha na uzi wameufukunyua 🙌🏾🙌🏾Na yametimia
Ati nini???Na yametimia
Daaaah yametimiaWakuu