Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
kwa sasa wanamkazia, hana la kufanya mc lialia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah wananzengo mmeamua kufukunyua Uzi😃😃😃😃😃Na yametimia
Kaburi murua kabisa hili 😅Dah wananzengo mmeamua kufukunyua Uzi😃😃😃😃😃
HahahaWakuu
Kamati ya wana apolo imekaa na kujizatiti kumfundisha adabu mc pili pili kwa kufanya makosa yafuatayo
1.kutangaza mahari ya mchumba wake kua ni milioni nane ambazo anaona ni nyingi na tena anadaiwa hizo milioni tatu
2.kitendo cha kulia hiki kimefanya kikao chetu kuamua na kuazimia yafuatayo.
Kwanza inabidi mtoto yule apate mwana apolo ili atulie, hivo huyu jamaa hafai kukaa na ile shepu maana atakua analia kila siku.
Aendelee kufanya media tour maana iko siku atazunguka peke yake kwenye hizo media huku mtoto akiwa na wana apolo.
Mtoto mzuri yule anatakiwa apate mwanaume na sio mtoto wa kiume kutoka Dodoma.
Dah wananzengo mmeamua kufukunyua Uzi😃😃😃😃😃
HahahaKaburi murua kabisa hili 😅
Kamati ya roho mbaya kazini
Hatimaye.Wakuu