jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
hahahahaha NumbiiiiiiTatizo ndio lipo hapo(media tour) na kutangaza kiwango cha mahari na kuhusu kutoonja tunda tamu kuliko yote duniani shwain kabisa huyo chili sosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaha NumbiiiiiiTatizo ndio lipo hapo(media tour) na kutangaza kiwango cha mahari na kuhusu kutoonja tunda tamu kuliko yote duniani shwain kabisa huyo chili sosi
Sio poa kabisa! Wamuache afaidi hilo tunda.Watu waliomkaza mchumba wake wanaanza kuanikwa wakat yeye anasubiri ndoa
Alilia nusu saa nzima kwa sababu ya demu aliyeshindikana!!! Duuuh hii Kali!!Desturi ya wanaume wa kigogo ni uvumilivu na ushamba wa kimapenzi, pia wanapenda sana wanawake walioshindikana. Unaweza kukuta changu aliyeshindikana kama hawa mademu wa bongo muvi na hakuna mwanamme yeyote anayemtaka hata kama ni wa bure ila akija nduguye Yanga SC (mgogo) anaiingia kichwa kichwa na kutoa mahali milioni 8 huku akilia kwanini kapata demu aliyeshindikana.
Tena iliyotumika vya kutosha.Watani zangu wagogo ni washamba kuliko at sisi yaani kweli mcpilipilimbuzi ni wakupiga goti nakulilia mbuchi wakati zimejaa kibao
Sent using Jamii Forums mobile app