MC pilipili×3

MC pilipili×3

Desturi ya wanaume wa kigogo ni uvumilivu na ushamba wa kimapenzi, pia wanapenda sana wanawake walioshindikana. Unaweza kukuta changu aliyeshindikana kama hawa mademu wa bongo muvi na hakuna mwanamme yeyote anayemtaka hata kama ni wa bure ila akija nduguye Yanga SC (mgogo) anaiingia kichwa kichwa na kutoa mahali milioni 8 huku akilia kwanini kapata demu aliyeshindikana.
Alilia nusu saa nzima kwa sababu ya demu aliyeshindikana!!! Duuuh hii Kali!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By my experience, mabint wengi hiv sasa wana watu wao, so ww ambaye unajidanganya kuwa uko pekeako, nakupa pole. Hivyo bhas kabla ya kusema ya mwenzio, fatilia ya ppande wako pengine unaweza jikuta unalia mwenyew.
Byeeee.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom