MCD wa Twanga Pepeta afariki dunia

MCD wa Twanga Pepeta afariki dunia

Nilitaka kuandika kama wewe vile! Asante kwa kutukumbusha. Jamaa MCD tutammis sana kama tunavyommis Baba Diana, Baba Zaituni, Baba Sharifa (Abuu Semhando).

Da, babaa Diana, Babaa Sharrif, the late Abuu Semhando, ajali ya pikipiki kugongwa na gari ilikatisha uhai wake, nadhani ilikuwa Tangi bovu au Samaki, kule Mbez Beach. Huyu umahiri wake ulianzia tangu akiwa Vijana Jazz( Vijana Orcherstra, Air Pamba moto, Saga Rhumba). Alikuwa hodari. R.I.P MCD,RIP Semhando, na kama ni kweli taarifa za kifo cha mzee Dude yule muigizaji wa FUTUHI kule Star Tv, basi nae RIP!
 
Yah baba diana na MCD waliipaisha sana twanga..wapumzike kwa amani
 
Habarini za mchana wana JF.

Aliyekuwa mpiga drums wa bendi ya Twanga Pepeta ndg. Soud Mohammed aka MCD amefariki dunia huko katika hospital ya KCMC alipokuwa amelazwa.

Soure: Kongozi wa Twanga Pepeta.

Mungu ailaze roho yake mahal pema peponi.Amen
 
Hakika kila nafsi itaonja mauti. Poleni wafiwa
 
Habarini za mchana wana JF.

Aliyekuwa mpiga drums wa bendi ya Twanga Pepeta ndg. Soud Mohammed aka MCD amefariki dunia huko katika hospital ya KCMC alipokuwa amelazwa.

Soure: Kongozi wa Twanga Pepeta.

Mungu ailaze roho yake mahal pema peponi.Amen
Daaah niliona jana na Ridhiwani Kikwete alipost katika FB page yake na picha. Hawa wanamuziki na wasanii wetu Mungu awasaidie sana na maisha wanayopitia na vifo vyao vinakuwa vya tabuu maana hata huduma zinakuwa duni sana wakipata maradhi. Rest in peace MCD!!!
 
APEPE MCD, Nini chanzo cha kifo chake?

simsemi vibaya wala sina nia mbaya! Naweza kuonekana wa ajabu kwa kasumba tuliyonayo ya kuficha vitu. Ila mcd alikuwa ni mwathirika kama unakumbuka aliyekuwa mkewe nae alifariki hivi karibuni alikuwa mcheza show wa twanga anaitwa Mwantum
 
nilimfahamu enzi zile akiwa Diamond sound pamoja na marehemu Gabby Katanga,Liver hassani,Adolph mbinga,Kamuke sukari
 
Daaah mambo ya kuugua muda mrefu haya...pumzika wewe mcd

Mkuu Kigogo vipi tena mbona una doubt kuhusu kuugua muda mrefu?huo ndio Msamiati wa Kisasa hapa Bongo kuhusu Wasifu na kuugua kwa Marehemu? R.I.P MCD ''mbele yako nyuma yetu''
 
Daaah niliona jana na Ridhiwani Kikwete alipost katika FB page yake na picha. Hawa wanamuziki na wasanii wetu Mungu awasaidie sana na maisha wanayopitia na vifo vyao vinakuwa vya tabuu maana hata huduma zinakuwa duni sana wakipata maradhi. Rest in peace MCD!!!

:angry:Acha kuropoka wewe. Nani kakuambia huduma yake ilikuwa duni? Sisi ndugu ndio wa kuongea, heshima ni kitu cha bure. Kifo kipi ni cha raha wewe punguani? Rest your 'ASS':yell: in peace.
 
Punguani mwenyewe mbwa weeee. Rest in your buttocks.
 
simsemi vibaya wala sina nia mbaya! Naweza kuonekana wa ajabu kwa kasumba tuliyonayo ya kuficha vitu. Ila mcd alikuwa ni mwathirika kama unakumbuka aliyekuwa mkewe nae alifariki hivi karibuni alikuwa mcheza show wa twanga anaitwa Mwantum

Akiona mosfrank umeandika hapa atakutukana. Mimi kanitukana hapo chini asijue mimi ninamfahamu sana MCD na kuwa ugonjwa wake ulimtesa sana. Yaani amenitukana sana na sikuchelewa kumjibu. Ukweli tunatakiwa tuseme mkuu Vitaimana bila hovyo ni unafiki tu mkuu wangu.
 
Back
Top Bottom