Kweli Lowassa Mungu anamlinda sana. Wansomdhihaki kuhusu afya yake ndo wanatangulia. Mungu ni mwema!
Wakuu,
Kuna taarifa kwamba Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo, taarifa zaidi tunasubiria kutoka kwa Kamanda wa Polisi mkoani humo.
=====
UPDATE:
JamiiForums imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo" zinasema amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa, Chalinze.
Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.
Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.
mkuu nimejionea mwenyewe.pamoja na kumchukia,lakini imeniumaPicha ziko fb.
chinembe ni mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.
Kama huyo mungu wa lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.
Bwana wetu yesu kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya msalaba???
Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya mungu zitaenda kwa amani. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni kisasi cha bwana.
Queen esther
TCRA mpo?mnamsikia huyu jamaaa?Kwani Mtikila alimuombea nini Lowasa? Acheni hizo. Mtikila alikuwa anasema kweli tupu kuhusu Lowasa. Ndo maana wameamua kumuua
kama ni hivyo watadondoka wengi maana wengi wamemtukana sana Bw Lowassa.
Tutashuhudia mengi. Mungi hadhihakiwi na ameshaanza kuthibitisha hilo...
Haha,duh...kafa kabla ya Lowassa?Mungu hadhihakiwi
Mungu hapendi mzaha kwani yeye ndiye humpa mja wake afya na maradhi kwa hiyo basi kifo chake ni fundisho kwa wengine km akina Mwigulu et el.
Mungu ni mkubwa kuliko mmbuyu!
Duh...kafa kabla ya Lowassa?Mungu hadhihakiwi
Kweli Mungu hadhihakiwi kama kuna Ukweli katka hili.
Mwanzo 38:7. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa BWANA; na BWANA akamwua.Kwa kuua wengine? Mungu wa Lowassa yuko hivo?
Hapa Mungu anaingiaje?
Chinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.
Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.
Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???
Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.
Queen Esther
Mungu ni mkuu kuliko kitu chochote hapa duniani.hakuna aijuaye kesho yake yule aliyesema ni mgonjwa bado yu hai. hakika mungu ni wa wote.