TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Jamani huyu lowassa yuko na zaburi ya 31 na 35 ni issue
 
Rip mchungaji mtikila
njia ni mmoja sote tutafika huko
ukipata nafasi utuombee taifa la tanzania
mungu amekupenda zaidi
rip
 
Aiseee RIP Mtikila. Hv alokiwa mgombea Urais?
 

Utajamba sana Mwaka huu, na bado mtaendelea kupigwa Upofu hivyohivyo! Tukisema na Nyie mchunguzwe kuhusu Afya ya Lowassa kwakuwa mnamsema nayo vibaya utadhani mna Mkataba na Mungu kuhusu Uhai wenu mtasemaje? Chunguzeni, mleteni hadi Dr. Slaa achunguze ili mje na version mnayoitaka!
 
Hivi huwa mnaandika kwa kufikiria? au mhimeko?

Mungu angekuwa anawaadhibu watu kutokana na dhambi zao hapo hapo nani angepona??

au huyu wenu ni Mungu yupi?
Mkuu kwani yale majeshi ya farao yaliyofia bahari ya shamu huyakumbuki?hawakuwa watu?tumbuka tupo kwenye safari ya ukombozi toka mnyama ccm,
 
sasa nimekubali utabili wa mrithi wa SHEIKH YAHAYA kwamba kabla ya kufikia siku ya uchaguz tutampoteza mgombea mmoja wa kiti cha URAIS. R.I.P MTIKILA
 
Mtikila alimwona EL kama vile hana haki ya kuishi
Iliniuma sana Tuchunge ndimi zetu
 
Watu wa lowasa wanatutoa njea ya hoja. Hoja ni kwamba afya ya lowasa hatoweza kumudu majukumu urais ipasavyo haijalishi kuna wazima wanakufa kabla ya lowasa. Ebo!
 
Pumzika kwa amani Mch.Mtikila, kwangu wewe ni mwanasiasa bora uliyepigania uliyoaamini hasa Tanganyika yako, hakika nitakukumbuka kwa mazuri na mema yako yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…