jaylamadeni
New Member
- Jul 31, 2015
- 4
- 0
kila nafsi itaonja umaut
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mtikila alimuombea nini Lowasa? Acheni hizo. Mtikila alikuwa anasema kweli tupu kuhusu Lowasa. Ndo maana wameamua kumuua
Mtikila afariki. Mwenye taarifa sahihi atutaarifu.
TCRA is watching u...
Kama Tume wangempitisha kuwa Mgombea Urais na hatimaye kifo chake, maana yake uchaguzi ungeahirishwa. Ila kwa sasa ni mbele kwa mbele
picha yake hiyo chini
Lazima chadema mchunguzwe tena kwa kufo hiki na cha Chacha Wangwe. Huwezi kufurahia kifo cha binadamu kiasi cha kumpongeza eti Mungu wa Ukawa! Wachunguzi wa assassinations waitwe kubaini hii ajali inaweza kuwa ya kutayarishwa na nyie mlioupokea msiba huu kwa furaha.
Mkuu kwani yale majeshi ya farao yaliyofia bahari ya shamu huyakumbuki?hawakuwa watu?tumbuka tupo kwenye safari ya ukombozi toka mnyama ccm,Hivi huwa mnaandika kwa kufikiria? au mhimeko?
Mungu angekuwa anawaadhibu watu kutokana na dhambi zao hapo hapo nani angepona??
au huyu wenu ni Mungu yupi?
Mungu anahusikaje hapa. Lowasa kapona kabisa kwa kifo hiki.Mungu ni mwema alisema Lowassa mugonjwa katangulia mzima ni funzo sasa