TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Mungu hapendi mzaha kwani yeye ndiye humpa mja wake afya na maradhi kwa hiyo basi kifo chake ni fundisho kwa wengine km akina Mwigulu et el.

'LOWASA' Heri yao wenye afya njema kwani ni Mungu kawajalia na mimi mgonjwa ni Mungu kanijalia. Wao wataishi milele.
 
Hilo gari mbona linaonekana chakavu sana? Ngoja tusubiri ripoti.
 
Hawa wanasiasa wasikuhizi nimithili ya wehu.

Badala ya kuhubiri sera, aman upendo na umoja wao wanafanya mambo ya ajabu.

1. Matusi
2. Masimango
3. Uzushi wa mambo yakufikirika
4. Kutabiria watu wengine maradhi na vifo
nk.

Akina Polepole, Bulembo, Nape,Mwigulu, J makamba nawengine waache upumbavu wakujadili afya za wengine na private matters.

Wajadili issues sio mtu na waache ujinga wa propaganda nasiasa za maji taka.

Isitoshe raia tunahitaji kusikiliza matatizo yetu yamsingi yatatatuliwa vipi

Elimu

Afya

Miundombinu

Uchumi.

Waache ujinga.
 
na udhaifu wake ila kunamazuri kayafanya nilikua napenda kumskiliza sana ingawa kunasehemu alikua anatereza R.i.p

andiko lake la kuingia kwa wanyarwanda nchini
 
alimtukana na kumkashifu sana Lowasa kwa ugonjwa huenda alikuwa hajatubu dahh ...
 
R I P. Mbele ako nyuma etu. Pumzika kwa amani japo hujafanikiwa kumuona raisi ajae!
 

Attachments

  • 1443939415658.jpg
    50.2 KB · Views: 6,171
Ajapo hakuna anapenda bindamu kupotea lakini kwamaneno ya mtikila zidi lowassa
 

Mkuu unafanana sana na ule wa molinge soko4
 
IIf we really acknowledge the existance of God here there is a lesson for us.
 
Lowassa ni Mjenzi huru, huyu mtu hafai kuwa Rais.
Hii ndo shida ya ccm. Hamtiliagi mkatafakari mambo ni rahisi sana kusema hii kasababisha huyu lakini hmhangalii mwenendo wa ccm kabisa. Mimi hiwa najiuluza kwa ajili ya siasa tu ccm na vibaraka wao wanaenda kwenye tv na majukwa na kumuita lowasa maiti inayotembea" yaani siasa tu" kwenye hili ccm inatakiwa ipate somo kubwa sana
 
Ni wendawazimu kufikiri kwamba kama humuungi mkono Lowasa utakufa,kifo ni mpango wa Mungu,rest in pc Mtikila!
c

Swala sio "kumuunga mkono au la!" swala Ni wale wanaojipa utukufu wa ki Mungu kwa kumkashifu Lowassa kuhusu afya yake as if wao wana mkataba na Mungu kwamba hawataugua au kufa! Jifunze kusoma jambo kwa makini kabla hujafyatuka kujibu kama Nape! Put your mind into gear b4 opening up your mandibles to shoot out hot Air! Bs
 
R. I. P mtikila, Ila hii ajali duh 😢 mbona hana jeraha lolote duh mwili unaonekana haujaumia popote labda alikufa kwa mshituko
 
Mungu huyohuyo alisema, usihukumu kabla hujahukumiwa...

si mungu wa luwasa auae...ila ni funzo kwa wote wanaowakebehi wagonjwa utadhani wao ndio waumbaji...mungu hajali mzima au mgonjwa kila nafsi itaonja mauti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…