TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Freemason lowasa anawamaluza wapinzani wake wa kisiasa e mungu liokoe taifa letu,
 
Mungu mwenyewe anasema "mimi ni bwana mungu wako ni mungu mwenye wivu nawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao" si vyema kudhihaki afya ya mtu wala umauti wa mtu mungu atatulipa hapahapa duniani!!.. RIP MTIKILA
 
Nilimwogopa sana Mungu maana anajua kufa ni maamuzi yake!!!!sitakiwi kushabikia kifo lakini kwa hali hii Mungu aitwe Mungu
 
sasa cjui ataenda mahakama gani huko aendako? kazi ya mungu haina makosa kama ulitenda mema utalipwa mema r.i.p brother
 
Kwanza apumzike pema peponi na pole kwa familia yake la pili wale walopokaji wachunge ndimi zao Mungu pekee ndie ajuaye siku zetu za kuishi hapa duniani.. Tatu Lowassa ni mpango wa Mungu kila anayemtukana lazima atangulie yeye
 
Dah jamaa alimsema sana mwenzake afya na kifo mungu ndo ajuae tuchunge ndimi zetu
 
Rip. Wadai tanganyika huru, mgombea binafsi ni pigo kubwa, mshumaa umezimika.
 
Hili litakuwa ni funzo kwa walio hai,
Alianza Komba kwa kumtukana Mzee Warioba alisema ni Mzee anayesubiri kufa tu ndio maana katuletea katiba yake kafa yeye kamuacha mzee wa watu,
Tunakuja kwa Celina Kombani wakati Lowassa anahama ccm alisema bora hata uhame usije ukatuifia ccm bure na Ikulu si pakupeleka wagonjwa, kafa yeye kamuacha Lowassa,
Mtikila trh 25 star tv,
Alisema Ikulu si ICU hao waliomchukua kwann wasimchangia hele aende akatibiwa Israil, Watz hawawezi kumpeleke Ikulu Mgonjwa,
Nasema tujifunze kuwa na lugha nzuri kwa wenzetu Afya na uhai wa Mwanaadam ni Mungu pekee ndio anajua haya kafa yeye kamuacha Lowassa,
Tafakari na chunga Mdomo wako haya ni maisha tu na tunapita usimuhukumu mwenzako kwa mabaya haliyakuwa ww unapumua huku Dunian.
 
Wewe boya kweli uchunguzi gani naumeambiwa ni ajali traffic watafanyia uchunguzi!Wewe unareta upoyoyo kafanye uchunguzi wa Kombe kwanza
 
Nyie badala ya kuangalia mienendo yenu na kuchunga ndimi zenu mnaanzisha propaganda . Mungu adhihakiwi mtaisha wote pumbavu
 
Ni D Balali ndie aliesema kuwa kuna mwanasiasa mkubwa atafariki na mambo mengine ikiwemo Magufuli atashinda na upinzani itapata idadi kubwa ya viti, anzeni kuhesabu utabiri wake....napita , RIP mch
 
Back
Top Bottom