Hili litakuwa ni funzo kwa walio hai,
Alianza Komba kwa kumtukana Mzee Warioba alisema ni Mzee anayesubiri kufa tu ndio maana katuletea katiba yake kafa yeye kamuacha mzee wa watu,
Tunakuja kwa Celina Kombani wakati Lowassa anahama ccm alisema bora hata uhame usije ukatuifia ccm bure na Ikulu si pakupeleka wagonjwa, kafa yeye kamuacha Lowassa,
Mtikila trh 25 star tv,
Alisema Ikulu si ICU hao waliomchukua kwann wasimchangia hele aende akatibiwa Israil, Watz hawawezi kumpeleke Ikulu Mgonjwa,
Nasema tujifunze kuwa na lugha nzuri kwa wenzetu Afya na uhai wa Mwanaadam ni Mungu pekee ndio anajua haya kafa yeye kamuacha Lowassa,
Tafakari na chunga Mdomo wako haya ni maisha tu na tunapita usimuhukumu mwenzako kwa mabaya haliyakuwa ww unapumua huku Dunian.