Yule mwingine katoka marekani amekonda huyo:what:
What! Nini, aliumwa au ajali?
If its true!
ITS OK!
NATAMANI NA ""WANAFIKI""WAMFUATE!!!
U people are insane. Lowasa ni fisadi sawa. Lakini lowasa si maiti inayotembea kama alivyosema mtikila na ccm wengine. Hamjifunzi kitu kwenye hili.!?Kama kawaida yao chadema walivyomuua chacha wangwe hatimaye mtikila naamini kwa tabia yao hii tutegemee kumwona yesu akirudi kwa Mara ya pili na sio chadema kwa mauaji yao kwenda lkulu lnasikitisha sana ni asiyejua kwamba lowassa ni Fisadi?
Mapepo ya Gwajima, Mapepo ya Mwingira. Poleni wahanga, r.i.p mchungaji.
Ila najua Dr Magufuli hawamuwezi! Maana ulinzi alionao ni wa yule Mungu mkuu na ndiye anayetakiwa kuwa rais wa taifa. Hakuna cha mapepo ya hao wachungaji wala nini, lazima awe rais na awashikishe adabu, maana kama mwingira ni mnafiki anajifanya ndumila kuwili kumpalilia mlutheri mwenzake na fisadi mwenzake wa ardhi, na lazima ardhi anyang'anywe!
Kifo ni kifo na ugonjwa ni ugonjwa.
Ikulu siyo ICU - Mtikila.
Na Lowassa hatumchagui, ni mgonjwa sana tena mpaka anafanya mavituz (kama chato).
Kama ni kweli ule utabiri wa washirikina umetimia kua mgombea urais atafariki
Mwingira anatokea huko huko, alikuwa mlutheri na anaamini kiongozi lazima awe mlutheriMwingira sio mlutheri!
Chinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.
Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.
Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???
Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.
Queen Esther