Mbuyimayi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 575
- 1,156
Kifo chochote si cha kushabikia na sehem kubwa ya michango ya humu ni kuonyesha utendaji wa mungu kwamba mtu asidhihaki afya na ndo sababu ya ajali lkn hatuangalii mchango wa mtu mmoja ktk taifa hili, mfano huyu bwana kama binaadam tu alijitahidi kupigania mambo fulani fulani ambayo ndo yamekuwa kama chachu ya wanaotaka mabadiliko ktk nchi hii tena kipindi hakuna uhuru wa kujieleza kama leo kwa hiyo wana mabadiliko msipomuangalia huyu mtu kwa ujumla wake hamtauona ushujaa wake zaidi ya kauli yake tu ya kumpinga candidate wa ukawa