TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Et samahan, kama waliofariki wagombea ubunge na ubunge ukaahirishwa vip kuhus mgombea urais!? Au wanaangalia na nguvu
 
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa

Kumkashifu lowassa sio sababu ya kifo chake ni mipango ya mungu tu...acha kuhusisha kifo chake na siasa
 
Pasco...sioni haja ya kuzifunga hizo threads coz zina mafunzo mbalimbali. Mtu anapokufa tunaobaki tunaendelea kujifunza kupitia yeye.
 
Last edited by a moderator:
Kama kawaida yao chadema walivyomuua chacha wangwe hatimaye mtikila naamini kwa tabia yao hii tutegemee kumwona yesu akirudi kwa Mara ya pili na sio chadema kwa mauaji yao kwenda lkulu lnasikitisha sana ni asiyejua kwamba lowassa ni Fisadi?

Weka ushahidi wa unachokisema! Otherwise ugeni wako usishushe hadhi ya jukwaa hili, hiki si kijiwe cha Kahawa pale Lumumba!
 
Kama hutaki kuzungumzia uchadema na u-ccm upo jukwaa sio(embu acha unafki hili ni jukwaa la siasa)- cha muhimu hapa ni kua siku ikifika unaondoka. Na mungu ndo anaijua hiyo siku na saa. So ukiona mtu anaugonjwa na wewe ni mzima(unapiga pushup) ukadhani yule mwenye ugonjwa atatangulia ni makosa makubwa sana. Cha muhimu tumueshimu mwenyezi mungu na tueshimu mipaka na mamlaka yake. Na tuwe na adabu hasa kweny mambo ya afya, uzima na kifo.
 

Chunga kauli zako maana huwezi kuzithibitisha!
 
r.I.p wale wote waliokuwa wanamsema lowassa kwa mabaya kuwa ni mgonjwa wao ndo wanatangulia. liwe fundisho kwa wengine
. kutangulia kufa kwa mtu haibadilishi mantiki kwamba lowass sio mgonjwa.....huyu bwana ni mgonjwa na ambaye hakuwa mgonjwa kafariki kwa ajali.sasa uhusino wa mgonjwa na ajali huko wapi?.....mtu anashabikia mtikila kufa eti kisa alimtaja lowass na ugonjwa wake.....vipi sasa wewe unayeshangilia kifo na wewe unajiua kesho yako au kwakuwa lowass ni mgonjwa hajafa basi na nyie hamtakufa????....kila mtu ana siku yake ya kufa na hili haimanishi unaumwa ama u-mzima.RIP mtikila umetangulia umetuachia wachungaji feki kama Kibwetele na Msingwa.
 
Mtikila hakuwa mgombea urais. Unaishi Tanzania ya wapi wewe? Au upo Tanzania ya Magufuli?
 
Naendelea kuamini ya kwamba "Mzima wa leo ndio mgonjwa ama marehemu wa kesho na mgonjwa wa leo ndio mzima wa kesho"..Uzima,ugonjwa na kifo ni mipango ya MUNGU,kumkejeli binadamu mwenzio kwa ugonjwa wake ama kifo chake ni kejeli kwa MUUMBA.
 
Nilivyoona suspenders nimeamini.Duuuuh Nyanya lakini zimesalimika naona zimemwagika hazija pondeka.

hizo nyanya wananchi walivyo wakatili itakuwa walizibeba kwenda kuungia mboga
 
Nadhan alikuwa hajafunga mkanda maana gari haijaharibika kivile.
 
Kama ni kweli ule utabiri wa washirikina umetimia kua mgombea urais atafariki

Marehemu Mchungaji Mtikila hakuwa mgombea urais. Fomu zake zilikataliwa na tume. Hakukidhi vigezo
 
kwangu atabaki SHUJAA ...ni habari mbaya sana.. ameweza kutenda mengi sana wanasiasa na wanaharakati wengi wameshindwa....ameshape sheria nyingi nchi.. ila bado kuna watu wanadharau nafasi yake kwa upofu wa hichi kinachoitwa mabadiliko... pumzika kwa amani Rev.Mtikila... tutakumbuka... kwa mchango wako..
 

hivyo umekubali so ugonjwa pekee unaoweza kutoa uhai wa MTU so tusmbeze MTU kuwa ni mgonjwa kumbe hata wewe unaweza kufariki kwa kupigwa na radi au kugongwa na canter
 

naona mnakomalia kuhesabu maovu ya wafu wakat mnajua wale walishamaliza kaz yao hapa dunian..

Bwana Yesu alisemwa kila aina ya baya, alitukanwa, alitemewa mate mpaka siku yupo msalaban alidhihakiwa lakn hakusema neno zaidi ya kusema Mungu wasamehe hawajui watendalo,, hivi huyu lowasa ni nan hasa? Kila anayempnga anakufa kwann yeye asikosolewe? Kwan yeye katenda mangapi mema na mabaya hapa dunian?

Akina mwakyembe baada ya kumtaja tu kwenye riport ya richmound ni nn kiliwapata?

Lakn tutambue kuwa kila nafsi itaonja mauti na siku ya mwisho utahesabiwa hesabu zako.

Ee Mungu tusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…