Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa
Pasco...sioni haja ya kuzifunga hizo threads coz zina mafunzo mbalimbali. Mtu anapokufa tunaobaki tunaendelea kujifunza kupitia yeye.
Mkuu asante kutuletea hii taarifa na kuifanya jf iendelea kuwa chaneli ya be the first to know, lakini habari kama hizi za vifo, hazipaswi kutolewa bila verification!.
Vifo vinavyotokana na ajali, verification hufanya na competent authorities kama medical doctor au polisi na sio mashuhuda!.
Mode: Tuwe makini sana!.
Kama ni kweli
Mode nakuomba uzifunge rasmi thread zangu hizi
[h=3]Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100! -
[/h][h=3]Mtikila Kutinga Arumeru!. Adaiw Shetani ni Afadhali Kuliko .
[/h][h=3]Kitendo Cha Rev. Mtikila Kugomea Arrest!, Kinastahili Pongezi[/h]
RIP Mchungaji Mtikila.
Pasco
Kama kawaida yao chadema walivyomuua chacha wangwe hatimaye mtikila naamini kwa tabia yao hii tutegemee kumwona yesu akirudi kwa Mara ya pili na sio chadema kwa mauaji yao kwenda lkulu lnasikitisha sana ni asiyejua kwamba lowassa ni Fisadi?
Kama hutaki kuzungumzia uchadema na u-ccm upo jukwaa sio(embu acha unafki hili ni jukwaa la siasa)- cha muhimu hapa ni kua siku ikifika unaondoka. Na mungu ndo anaijua hiyo siku na saa. So ukiona mtu anaugonjwa na wewe ni mzima(unapiga pushup) ukadhani yule mwenye ugonjwa atatangulia ni makosa makubwa sana. Cha muhimu tumueshimu mwenyezi mungu na tueshimu mipaka na mamlaka yake. Na tuwe na adabu hasa kweny mambo ya afya, uzima na kifo.''sera na policy''??!!! anyway uccm imekujaje ktk hili? au ukisikia ukawa lazima ulete uccm? mimi nimezungumzia kazi ya mungu wa ukawa we unaleta habari ya uccm. mimi siko hapa kuzungumzia u-ccm wala u-chadema wala u-cuf n.k, my point is, kazi ya 'MUNGU' sio kuua hovyo kama unavyoamini mkuu, kama ni hivyo kila atakayemsema ENL atakufa? hebu tuone kuwa, wengine siku zao zilikuwa zimefika. ila kama unaendelea kuamini kuwa kazi ya 'mungu' wa ukawa ni kuua nakubaliana na wewe.
Mapepo ya Gwajima, Mapepo ya Mwingira. Poleni wahanga, r.i.p mchungaji.
Ila najua Dr Magufuli hawamuwezi! Maana ulinzi alionao ni wa yule Mungu mkuu na ndiye anayetakiwa kuwa rais wa taifa. Hakuna cha mapepo ya hao wachungaji wala nini, lazima awe rais na awashikishe adabu, maana kama mwingira ni mnafiki anajifanya ndumila kuwili kumpalilia mlutheri mwenzake na fisadi mwenzake wa ardhi, na lazima ardhi anyang'anywe!
. kutangulia kufa kwa mtu haibadilishi mantiki kwamba lowass sio mgonjwa.....huyu bwana ni mgonjwa na ambaye hakuwa mgonjwa kafariki kwa ajali.sasa uhusino wa mgonjwa na ajali huko wapi?.....mtu anashabikia mtikila kufa eti kisa alimtaja lowass na ugonjwa wake.....vipi sasa wewe unayeshangilia kifo na wewe unajiua kesho yako au kwakuwa lowass ni mgonjwa hajafa basi na nyie hamtakufa????....kila mtu ana siku yake ya kufa na hili haimanishi unaumwa ama u-mzima.RIP mtikila umetangulia umetuachia wachungaji feki kama Kibwetele na Msingwa.r.I.p wale wote waliokuwa wanamsema lowassa kwa mabaya kuwa ni mgonjwa wao ndo wanatangulia. liwe fundisho kwa wengine
Nilivyoona suspenders nimeamini.Duuuuh Nyanya lakini zimesalimika naona zimemwagika hazija pondeka.
Kama ni kweli ule utabiri wa washirikina umetimia kua mgombea urais atafariki
. kutangulia kufa kwa mtu haibadilishi mantiki kwamba lowass sio mgonjwa.....huyu bwana ni mgonjwa na ambaye hakuwa mgonjwa kafariki kwa ajali.sasa uhusino wa mgonjwa na ajali huko wapi?.....mtu anashabikia mtikila kufa eti kisa alimtaja lowass na ugonjwa wake.....vipi sasa wewe unayeshangilia kifo na wewe unajiua kesho yako au kwakuwa lowass ni mgonjwa hajafa basi na nyie hamtakufa????....kila mtu ana siku yake ya kufa na hili haimanishi unaumwa ama u-mzima.RIP mtikila umetangulia umetuachia wachungaji feki kama Kibwetele na Msingwa.
pole sana kwa wafiwa, Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, Bwana ametoa Bwana ametwaa, jina lake linimidiwe.
NB: Kifo cha mch. mtikila ni ujumbe mzito kwa akina NAPE, MWIGULU, LUSINDE, MAKONGORO NYERERE, BULEMBO, MSUKUMA na wengine mnaojiona mna mandate ya kukadiria uhai wa mtu wakati hiyo ni kazi ya Mungu na ni SIRI yake peke yake. Kumbuka marehemu Celina Kombani pia alikashifu afya ya Lowassa alipohamia CDM. akisema bora amehama angetufia bure acha akifie huko chadema kama mna akili na utashi ACHENI KUKASHIFU UHAI WA WATU fanyeni kampeni za kukinadi chama chetu