Mzalendojr
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 174
- 46
If its true!
ITS OK!
NATAMANI NA ""WANAFIKI""WAMFUATE!!!
acha ukilaza wewe kwani uliambiwa kazi ya rais ni kubeba zege?Watu wa lowasa wanatutoa njea ya hoja. Hoja ni kwamba afya ya lowasa hatoweza kumudu majukumu urais ipasavyo haijalishi kuna wazima wanakufa kabla ya lowasa. Ebo!
na mtakufa sana! na bado! ha ha ha ha!sheria zipo ndio maana serikali na vyombo vyake vipo. mfano polisi, mahakama, jela nk. taifa Lina watu wa aina zote. wapole, wastaarabu, waadilfu, wachaMungu kama vile wapo pia walevi, wezi,Wakorofi, waongo. wachawi, vibaka, nk Hakuna nchi ya wasafi pekee. kusema mtu hawezi tukanwa, kudhihakiwa, kukashifiwa atafute nchi ya kufikirika au labda aende mbinguni. kwa hapa duniani watatukanwa saaaana tu. na bado
Alale kwa taratibu; mkuu leo umekuwa mungu?Hajawahi kutukanwa bali aliambiwa ukweli. Naye huyo mtu wako hafi hadi akose urais kisha ajibu ruhusa zote na arudishe kila alichojinyakulia kisha ndiyo alale kitandani kwa safari ya taratiiiibu kwa aibu. Shwain
acha ukilaza wewe kwani uliambiwa kazi ya rais ni kubeba zege?
acha ukilaza wewe kwani uliambiwa kazi ya rais ni kubeba zege?
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa
mganga wa Kweli kwanini hukuzuia kifo chake?kwangu atabaki SHUJAA ...ni habari mbaya sana.. ameweza kutenda mengi sana wanasiasa na wanaharakati wengi wameshindwa....ameshape sheria nyingi nchi.. ila bado kuna watu wanadharau nafasi yake kwa upofu wa hichi kinachoitwa mabadiliko... pumzika kwa amani Rev.Mtikila... tutakumbuka... kwa mchango wako..
mganga wa Kweli kwanini hukuzuia kifo chake?
Soma zaburi. 35
au kupiga push up, mwenzao juzi kaanguka jukwaani akiruka kichura chura.