TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

If its true!
ITS OK!
NATAMANI NA ""WANAFIKI""WAMFUATE!!!

sheria zipo ndio maana serikali na vyombo vyake vipo. mfano polisi, mahakama, jela nk. taifa Lina watu wa aina zote. wapole, wastaarabu, waadilfu, wachaMungu kama vile wapo pia walevi, wezi,Wakorofi, waongo. wachawi, vibaka, nk Hakuna nchi ya wasafi pekee. kusema mtu hawezi tukanwa, kudhihakiwa, kukashifiwa atafute nchi ya kufikirika au labda aende mbinguni. kwa hapa duniani watatukanwa saaaana tu. na bado
 
Watu wa lowasa wanatutoa njea ya hoja. Hoja ni kwamba afya ya lowasa hatoweza kumudu majukumu urais ipasavyo haijalishi kuna wazima wanakufa kabla ya lowasa. Ebo!
acha ukilaza wewe kwani uliambiwa kazi ya rais ni kubeba zege?
 
Do! Nilimpelekea message leo asubuhi!!!! Jamani.RIP. Hakuwa mtu niliymshabikia na, lakini Mungu amsamehe.
Halafu ni yeye pekee aliyekufa!
Pia chunguzeni mkono wa...............................................................................Kagame
 
sheria zipo ndio maana serikali na vyombo vyake vipo. mfano polisi, mahakama, jela nk. taifa Lina watu wa aina zote. wapole, wastaarabu, waadilfu, wachaMungu kama vile wapo pia walevi, wezi,Wakorofi, waongo. wachawi, vibaka, nk Hakuna nchi ya wasafi pekee. kusema mtu hawezi tukanwa, kudhihakiwa, kukashifiwa atafute nchi ya kufikirika au labda aende mbinguni. kwa hapa duniani watatukanwa saaaana tu. na bado
na mtakufa sana! na bado! ha ha ha ha!
 
Hajawahi kutukanwa bali aliambiwa ukweli. Naye huyo mtu wako hafi hadi akose urais kisha ajibu ruhusa zote na arudishe kila alichojinyakulia kisha ndiyo alale kitandani kwa safari ya taratiiiibu kwa aibu. Shwain
Alale kwa taratibu; mkuu leo umekuwa mungu?
 
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa

Kwani yy daktar mpaka aseme lowasa mgonjwa? Sasa mungu anaadhibu hapa hapa,usimkashifu binaadam mwenzio kwa kuwa ww si muuumba.
 
kwangu atabaki SHUJAA ...ni habari mbaya sana.. ameweza kutenda mengi sana wanasiasa na wanaharakati wengi wameshindwa....ameshape sheria nyingi nchi.. ila bado kuna watu wanadharau nafasi yake kwa upofu wa hichi kinachoitwa mabadiliko... pumzika kwa amani Rev.Mtikila... tutakumbuka... kwa mchango wako..
mganga wa Kweli kwanini hukuzuia kifo chake?
 
Last edited by a moderator:
Celina komban,
Mtikila, pumzkeni kwa aman na Mungu awasamehe madhambi yenu.
 
au kupiga push up, mwenzao juzi kaanguka jukwaani akiruka kichura chura.

sisi tunataka rais ambaye akili yake imetulia! mpiga pushap ni mtu ya maamuzi ya kukurupuka! rais anaweza kuongoza nchi vizuri hata yuko kwenye wheel chair!
 
Back
Top Bottom