TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani


Kabla hujachangia uliona comments za wana UKAWA humu walivyopokea taarifa za kifo cha Mch Mtikila kwa furaha? hilo lazima lilete shaka na maswali.
 
Kabla hujachangia uliona comments za wana UKAWA humu walivyopokea taarifa za kifo cha Mch Mtikila kwa furaha? hilo lazima lilete shaka na maswali.
Nyie mkomee kubeza afya za wenzenu...gadamn
 
Mungu wa Ibrahim Hadhihakiwi wala kuchelewa. R. I. P Mtikila
 
NASIKITIKA SANA KUONA WATU MKIMHUSISHA MUNGU NA MANENO MTIKILA ALIYONENA JUU YA LOWASSA.
Bible says:-
"hata wao wanichukiao nami nawarehemu",
SIYO KWELI KWAMBA KILA ATAKAYEMSEMA VIBAYA LOWASSA MUNGU ATAMUADHIBU,
NA KAMA KUNA UHUSIANO WOWOTE WA MANENO MABAYA JUU YA LOWASSA NA VIFO VYA HAO WANAOTOA MANEMO HAYO, BASI LOWASSA ATAKUWA MCHAWI MKUBWA NA MUUAJI WA MWILI,
MUNGU KATIKA HAYO ASIHUSISHWE KABISA,
BIBILIA INAAMINI KUWA UCHAWI UPO,
WAGANGA NA WAGANGUZI WALIJIONESHA WAKATI WA MUSA NA FALAO.
kama ni mapenzi ya MUNGU basi nawasihi tena,
MSIHUSISHE VIFO VYAO NA MANENO YAO JUU YA LOWASSA.
wangapi mmewasema au tumewasema mabaya na bado tunaishi?
Kama utamsema mwenzako vibaya na mungu akaumua kukuchukua, basi DUNIA HII ISINGEKUWA NA WATU mpaka sasa.
 
Unapomshambulia mtu na TUHUMA za UONGO halafu ananyamaza. Kama unaakili unaachana nae.
 
Kama ni kweli maanake unachaguzi nap so uyasogezwa mbele sasa huyu so alikuwa mgombea uraisi?

Wewe umetoka wapi jukwaa la magreat thinkers? Yote haya ni matatizo ya mods wetu kushindwa kuwaelekeza wasomaji na wachangiaji majikwaa wanayostahili. Sasa kama huyu hadi tunaenda kwenye uchaguzi kesho kutwa hajui hata wagombea uraisi jukwaa hili anafanya nini?
 
Pamoja na kwamba watu wana mtizamo tofauti kisiasa nadhani si vyema kushabikia umauti wa mtu mwingine

Ni kweli Mkuu, ila naomba nikuulize Je hawa tunaowasikia kila siku majukwaani wakidhihaki afya za watu na kuwaombea kifisadi kua watakufa muda wowote tuwaweke katika kundi gani?
Je hao si ndio chanzo cha kufanya watu waingize Siasa kwenye kazi ya Mungu ambayo siku zote haina Makosa?

R. I. P Mch. Mtikila.
 
R.I.P Mch mtikila.

Barabara za mkoa wa pwani ni chanzo cha ajali nyingi. Barabara inateleza kama imepakwa mlenda.

Waziri husika awajibishwe haraka
 
Nyie maficcm ni kama nani kubeza afya ya mtu maji fanya nyie ndy mnaweza kumpangia El uhai wake,
 

Clemence Baraka.

Jina lako la pili linaashiria amani. Ni jina zuri sana kinyume cha LAANA.

Siku zote napenda kumuangalia mfalme Daudi na Sauli. Sio katabiri bali alijaribu kumuua Mfalme Daudi hata hivyo hakulipa uovu.

Asante kwa neno zuri.

Queen Esther
 
Haha,duh...kafa kabla ya Lowassa?Mungu hadhihakiwi

Vijana yapaswa mkue!
Mtu anapofariki inapaswa kuheshimu kuwa tumempoteza binadamu mwenzetu!
Hadi sasa Mtikila hakuwa na dhambi yeyote kwa kuhoji afya ya Lowasa! Hata sisi tulipokuwa tunaenda kuomba ajira au shule na sio tulihojiwa tu, tulitakiwa pia tulete uthibitisho wa daktari kuwa tupo fit kimwili na akili!
Hilo ni jambo la !msingi. Hata watu wanapotakiwa kustaafu haimaaanishi kuwa. Wanaenda kufa, Ila uwezo wao wa kuzalisha definitely hauwezi kuwa sawa na vijana au watu wenye afya njema!
Mtu kama Lowasa mwenye matatizo kwa afya yake ya mwili na akili anaweza kuwa tatizo kwa taifa! Ushahidi ni huu anapokwepeshwa asihutubie, na mambo kadhaa!
RIP Mtikila
Angalau umekufa ukiwa mkweli kwako na taifa lako!
Tanganyika itakukumbuka siku moja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…