Yule mgombea ubunge wa Handeni, kwa tiketi ya CHADEMA, Mohamed Mtoi, aliyefariki kwa ajali naye alizungumzia AFYA ya Lowassa nini?Kamwulize kigwangala, Januali makamba na baba yake, bulembo, mwigulu na wengine....kwa nini wanamkashifu mtu ambaye wala hawakashifu ndipo utajua ni mchawi au mungu mtu.
Akawekwe anapostahiki.
Namsikitikia kuwa alikuwa hajajisalimisha kwa Muumba wake mpaka umauti unamfika.
Wewe Jee?
Naanza kumwogopa Lowassa, huenda ana mambo ya ajabu ajabu.....
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa
Tunamshukuru Mungu huduma alizofanya Mtikila.Yeye kamaliza kazi.Tunamuomba Mungu, Magufuli awe Rais wetu.jina la Bwana libarikiwe
Unakataa nn na unakubali ni Mungu wa visasi teh teh
Itakuwa vizuri ukishiriki maZishi yake weRest in peace mchungaji .acheni dhihaka kila mtu ataondoka wakati ukifika.
Kumbe wafahamu kuhusu Kisasi cha Bwana halafu unauliza ni Mungu yupi huyo? Unasahau kuwa Uzima ama Mauti uu Mikononi mwa Mungu Muumba Mbingu na Nchi? Umesahau kwamba Kile Apandacho Mtu ndicho atakachovuna? Umesahau neno linalosema Usihukumu usije Ukahukumiwa? Uhai ni wa Mungu na Si wa Kina Komba, Cellina Kombani, Mtikila, et al kiasi kwamba Wamuite Mwenzao Marehemu ilihali hata Sekunde Moja mbele yao hawajui kitakachotokea? Je! Huoni kuwa kuna la kujifunza katika hili? Muogopeni Mungu, licha ya kuwa ni Mwingi wa Rehema, lakini pia Hadhihakiwi kamwe!
Mungu hadhihakiwi..tukumbuke hizi ni kampeni tu!hayupo aijuaye kesho yake,je yeye alikuwa anaumwa nini??Tunaendelea kumuombea mgonjwa wetu ENLAlimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa