TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

pole kwa familia yake..na wote walioguswa na msiba.
 
Mtu asije akakudanganya neno wasamehe na kuwaombea Baraka ndio laana yenyewe,unapo muombea adui yako Baraka,Mungu hugeuza baraka kuwa laana ndiyo maana hata Yuda mwenyewe alichukua kitanzi akajitundika pamoja na kuombewa msamaha na Yesu.

Umejibu vizuri sana mkuuu ungekuwa jirani ningekupa offer ya lunch
 
Hakuna ajuae siku yake. Leo Mch. Mtikila kesho wewe.
Mtikila aliwahi kutoa maneno yasiofaa ya kifo cha Mh. Kombani India.
Hakuwa na simile katika kauli, kama mlivyo wengi humu.
Bwana ametwaa..

R.I.P mchungaji, ajali yake imesababishwa na kusahau kufunga mkanda wa usalama,akakumbuka kufunga wa ule wa kushika suruali kupitia mabegani,hili nimekuwa namtahadharisha sana Masako wa ITV lakini ananiona mimi burura sifai
 

Attachments

  • 1443947595931.jpg
    4.3 KB · Views: 404
Mungu mkubwa,hadhihakiwi akakaa kimya.
Wenye kuona na waone utukufu wake.

Mungu pekee ndiye mwenye mamlaka juu ya afya zetu...tusitukaniane afya zetu...mwili tulipewa na Mungu na Mungu ndio huamua juu ya miili yetu..ss tunashangaa kuwaona wanajifanya miungu watu wanaweza kujitabiria afya na maisha yao kwa ujumla..huwez kumcheka mwenzio mgonjwa wakt ss wenyeww tu binadam tumeumbwa....na bado waendelee kufa tu
 
Kuna jamaa mmoja alishasema FB kwenye post ya mahojiano yake na StarTv.
Mungu hadhihakiwi, na leo mnaona wenyewe.
 
Mungu hadhihakiwi..tukumbuke hizi ni kampeni tu!hayupo aijuaye kesho yake,je yeye alikuwa anaumwa nini??Tunaendelea kumuombea mgonjwa wetu ENL

Acha siasa kwenye science. Unachoweza kumuombea mgonjwa wenu ni afya njema na maisha marefu lakini siyo kuingia ikulu. Hana sifa za kwenda huko ikulu hata kama angekuwa na afya ya chuma
 
Updater; tujuze pia chanzo cha ajali pia na majeruhi wengine wana hali gani?

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa eneo husika, chanzo cha ajali ni mwendo kasi, majeruhi wengine watatu bado wapo hospital.
 
Jamani lazima tuelewe kuugua sio kifo mtu mzima mwenye afya anakufa akiwa anaangaalia Tv na mgonjwa akapona mifano ipo mingi sana, kilichobaki ni kumuuombea tu yeye ametangulia cc tunafuata.
 
Naona Tanzania linaenda kuwa Taifa la kimafia.

Siamini kama na wewe umeamua kuwa mtu wa siasa nyepesi kiasi hiki.Angalia wale unaowaona ni watu sahihi kwako,ambao walifika bei na kusaliti safari ya ukombozi mbele ya watanzania wanavyoanza kutenda kinyume na kile walichotuaminisha.Dk.alisema ameachana na siasa za majukwaani,alisahau kuwa yeyeni mpiga zumari tu ambaye hawezi kujichagulia apige wimbo upi.sasa wanaomtumia wamemtaka arudi jukwaani akafanye kile wanachopenda kukiona na kukisikia.Subiri kuanzia 7/10/2015,utabaki kinywa wazi kwa kutoamini utayoyasikia kutoka ktk kinywa kilekile cha mtu unayemuamini ambaye alifika bei na sasa analipa ghalama alizopewa.
 
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa

Kama alisema haya basi Mungu hadhihakiwi na hutoa adhabu stahiki. Siasa zisitufanye tuwe na Kiburi
 
Kwahiyo unataka kusemakua toka LOWASA alivoanza kua mgonjwa ajawahi kutibiwa?na kama alishatibiwa alitibiwa na fedha za ikulu?

Kwani hizo anazotibiwa nazo na ambazo alizihoji rais nyerere kwa akili yako unadhani zina maelezo gani kwamba ni zake za halali?
 
We are all mortal!
Don't make ridicule of ur fellow human being's health!!
 
RIP Mzalendo wa kweli ...mapambano yataendelea!!


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…