Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Napenda kuchukua nafasi hii kwa masikitiko kutuma salamu za rambirambi kwa Familia pamoja na wanachama wa Chama cha DP (Democratic Party) kufuatia kifo cha Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea asubuhi ya leo tarehe 4 Oktoba 2015. Kwa niaba ya wenzangu katika CHADEMA na UKAWA na kwa niaba ya familia yangu, ninamwomba Mwenyezi Mungu awape faraja wafiwa na amweke Marehemu mahala pema.
Bwana Ametoa. Bwana Ametwaa. Jina Lake Lihimidiwe.
Edward Ngoyayi Lowasa
Bwana Ametoa. Bwana Ametwaa. Jina Lake Lihimidiwe.
Edward Ngoyayi Lowasa