TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Huyu ndie Rais sasa...!!!

Lowassa hakika umejaliwa HEKIMA, UVUMILIVU NA BUSARA KUBWA SANA... wengi Mungu katunyima...!! Mungu kakupa wewe vitu vingi ambavyo wengi tumekosa...!!

Hongera Rais wetu mtarajiwa...!!!

You touched our souls, hearts and daily lifes ni POSITIVE WAYS... na kujifunza mengi kutoka kwako Baba Lowassa...!!!

Mtikila alikutukana sana, Ila bado umemuombea kwa Mungu amlaze pepa peponi...

Wewe ni zaidi ya Rais...!!!

Mungu akupe yote utakayo Baba Lowassa...!!!
 
Unafiki huu,yani amuue mzee wa watu then ajifanye kutoa pole?
 
Tunatakiwa kumuheshimu MUNGU na kuacha dhihaka dhidi yake!

Kwa hiyo Mungu kaanzisha chama cha siasa? Acheni ulofa wenu ninyi. Ujuaji wa Kuchanganya Dini Na Siasa ni ulofa uliopitiliza. Alivyofariki marehemu Mtoi (may his soul rest in peace) Mungu alikuwa wapi? Muache kuleta siasa kwenye imani za watu.
 
Huyu ndie Rais sasa...!!!

Lowassa hakika umejaliwa HEKIMA, UVUMILIVU NA BUSARA KUBWA SANA... wengi Mungu katunyima...!! Mungu kakupa wewe vitu vingi ambavyo wengi tumekosa...!!

Hongera Rais wetu mtarajiwa...!!!

You touched our souls, hearts and daily lives in millions of POSITIVE WAYS... na kujifunza mengi kutoka kwako Baba Lowassa...!!!

Mtikila alikutukana sana, Ila bado umemuombea kwa Mungu amlaze pepa peponi...

Wewe ni zaidi ya Rais...!!! tukomboe baba kwa hali mbaya sana Watanzania walio nayo..!!! Mioyo na Roho zetu ziko na wewe Baba Lowassa....!!!

Mungu akupe yote utakayo Baba Lowassa...!!!
 
mungu anisaidie niwe hata nusu ya lowassa maana nina nyongo nyingi sana mtu akiniudhi ila lowassa kaanza kunibadili juzi nimemsamehe mtu wa ccm alinitukana sana baadae nikajisikia kama nimekua lowassa nikacheka sana
 
Back
Top Bottom