Hivi hamjajua tu bado kwamba maboss wa tanzania hawapendi much knows?? Hawapendi challenges ? Yani narudi tenaa ma boss wa tanzania can't stand to be challenged by their subordinates... same way to African parents.
Mshawajua watu wenu bas play low key