Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wanayaamulia sebuleni badala ya chumbani inashangaza sana.Haya mambo yanatia aibu, masuala ya kutuhubiria tusamehe Saba mara sabini halafu wao kwa wao wanatendeana hiyana sio poa. Anyway MUNGU aturehemu
Inapelekea tuwe na maswali mengi kuliko majibu juu ya tofauti zao za hadharani.Halafu wanayaamulia sebuleni badala ya chumbani inashangaza sana.
MnooInapelekea tuwe na maswali mengi kuliko majibu juu ya tofauti zao za hadharani.
Wanayoyafanya yanatuumiza sana wafuasi wao maana sio matendo ya Kikristo.