Mch. Hananja: Hata mimi niliwahi kusimamishwa kuhudumu KKKT bila kufuatwa kwa utaratibu wala kupewa sababu ni nini

Haya mambo yanatia aibu, masuala ya kutuhubiria tusamehe Saba mara sabini halafu wao kwa wao wanatendeana hiyana sio poa. Anyway MUNGU aturehemu
 
Halafu wanayaamulia sebuleni badala ya chumbani inashangaza sana.
 
Inapelekea tuwe na maswali mengi kuliko majibu juu ya tofauti zao za hadharani.
Wanayoyafanya yanatuumiza sana wafuasi wao maana sio matendo ya Kikristo.
 
Mnoo
 
Hivi hamjajua tu bado kwamba maboss wa tanzania hawapendi much knows?? Hawapendi challenges ? Yani narudi tenaa ma boss wa tanzania can't stand to be challenged by their subordinates... same way to African parents.
Mshawajua watu wenu bas play low key
 
Back
Top Bottom