macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Nauliza, CHADEMA ndiyo wameleta umaskini wa watanzania?Wewe aliekuambia watanzania ni maskini nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauliza, CHADEMA ndiyo wameleta umaskini wa watanzania?Wewe aliekuambia watanzania ni maskini nani?
Kwahiyo unaamini kuna aliyesubiri Msigwa ahame chama kwa jazba ndio awafunue watu macho? Ni kipi cha siri ndani ya cdm ambacho watu hawajui ila walisubiri kwa Msigwa?Ili kuwazindua wengine ambao Bado mpo kwenye Mbowe's captivity ni lazima awaeleze why alihama huko,na Yale ambayo aliwaaminisha kipindi yuko kule awaeleze kuwa hayakuwa ya kweli.
Sijui kwa nini nahisi Msigwa yupo ccm kimkakati,sina uhakika kama ana mapenzi na ccmFriends and Enemies,
Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.
Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.
Kwa Mfano anasema,mbowe amekuwa anatuandamanisha zaidi ya kilometer 20. Cha ajabu tukifika mwisho wa maandamano tumekusanyika kumsikiliza Hana message.
Anaishia tuh kusema eti kunja ngumiii, kunja ngumi for god's sake tukunje ngumi ili iweje?
MSIGWA ana UJUMBE, makamanda msikilizeni Kwa umakini mjifanyie tathmin before it's too late, CHADEMA untill when will you keep on running and running and running away?just know that you can't run away from your self,you can't run away from the truth.
Soma Pia: Mchungaji Msigwa: Wanaosema msitoke CHADEMA kwakuwa kuna future ni uongo mtupu, wao wenyewe hawana hiyo future
Because in the modern politics everyone thinks that his burden is the heaviest, but MSIGWA was not the burden to you CHADEMA.
Kwamba unahisi Jeshi litawatumikia Chadema? Hizi akili kuna namna kinywaji kikali kipo kwenye damu. Lakini pia hivyo tu inaonesha Chadema hawana cha kufanya. Machafuko hamuwezi kufanya na wala mapunduzi hamuwezi kufanya. Just nothing. Mdomo tuWabunge 89 hatukupata kwa hisani. Hatuhitaji hisani ya ccm, lakini hatuko tayari kuendelea kushiriki chaguzi za kipuuzi tena. Tumeporwa uchaguzi tunataka mazingira sahihi ya ushindani. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi yatarejesha heshima ya box la kura, sio kwenda kupotezeana muda tena kwenye mstari wa kura.
Mangi eti apigiwe salute na JWTZ?Kwamba unahisi Jeshi litawatumikia Chadema? Hizi akili kuna namna kinywaji kikali kipo kwenye damu. Lakini pia hivyo tu inaonesha Chadema hawana cha kufanya. Machafuko hamuwezi kufanya na wala mapunduzi hamuwezi kufanya. Just nothing. Mdomo tu
Kama Tu OCD Hair alimchana Mbowe live😂😂😂Mangi eti apigiwe salute na JWTZ?
Kwani MSIGWA ni WA kwanza kuelezea JINSI Mangi alivyopanga kufia madarakani?Kwahiyo unaamini kuna aliyesubiri Msigwa ahame chama kwa jazba ndio awafunue watu macho? Ni kipi cha siri ndani ya cdm ambacho watu hawajui ila walisubiri kwa Msigwa?
Na Hiko ndicho kitu kinawaharibia CHADEMA.MBOWE MWENYEKITI WA MILELE CHADEMA, Na leo madam mabadiriko ya katiba wakati ya kwenu ya ki dikteta.
Kwani CCM kuna malaika, mbona majizi yote ya nchi yamerundikana hukoMatusi siyo tija Mkuu,kama hawatokaa wafanyie kazi hayo mapungufu basi wanajiandalia kifo chao wenyewe.
Ni kweli, hata Sudan hapo walikuwa maiti hai kuliko sisi, Elibashir akawaongoza kama wake zake, unajua nini kilimtokea? Kwa sasa ni historia.Kwamba unahisi Jeshi litawatumikia Chadema? Hizi akili kuna namna kinywaji kikali kipo kwenye damu. Lakini pia hivyo tu inaonesha Chadema hawana cha kufanya. Machafuko hamuwezi kufanya na wala mapunduzi hamuwezi kufanya. Just nothing. Mdomo tu
Unalinganisha TZ na Sudan? Umekatwa Kichwa auNi kweli, hata Sudan hapo walikuwa maiti hai kuliko sisi, Elibashir akawaongoza kama wake zake, unajua nini kilimtokea? Kwa sasa ni historia.
Ni sawa Mke aliyeachwa kuanza kumsema vibaya aliyekuwa mumewe. Ni tabia mbaya katika ustaarabu wa binadamu.Friends and Enemies,
Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.
Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.
Kwa Mfano anasema,mbowe amekuwa anatuandamanisha zaidi ya kilometer 20. Cha ajabu tukifika mwisho wa maandamano tumekusanyika kumsikiliza Hana message.
Anaishia tuh kusema eti kunja ngumiii, kunja ngumi for god's sake tukunje ngumi ili iweje?
MSIGWA ana UJUMBE, makamanda msikilizeni Kwa umakini mjifanyie tathmin before it's too late, CHADEMA untill when will you keep on running and running and running away?just know that you can't run away from your self,you can't run away from the truth.
Soma Pia: Mchungaji Msigwa: Wanaosema msitoke CHADEMA kwakuwa kuna future ni uongo mtupu, wao wenyewe hawana hiyo future
Because in the modern politics everyone thinks that his burden is the heaviest, but MSIGWA was not the burden to you CHADEMA.
Friends and Enemies,

CHADEMA ndiyo imeleta umaskini wa watanzania?Wewe aliekuambia watanzania ni maskini nani?
No chains around your feet but you are not freeee...Ni sawa Mke aliyeachwa kuanza kumsema vibaya aliyekuwa mumewe. Ni tabia mbaya katika ustaarabu wa binadamu.
Hao Sudan wana nini, kama walitawaliwa kibabe miaka 30? Haya ngoja nifananishe na maiti za Zimbabwe chini ya Mugabe. Haya rudisha kichwa changu ulichokikata.Unalinganisha TZ na Sudan? Umekatwa Kichwa au
Friends and Enemies,
Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.
Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.
Kwa Mfano anasema,mbowe amekuwa anatuandamanisha zaidi ya kilometer 20. Cha ajabu tukifika mwisho wa maandamano tumekusanyika kumsikiliza Hana message.
Anaishia tuh kusema eti kunja ngumiii, kunja ngumi for god's sake tukunje ngumi ili iweje?
MSIGWA ana UJUMBE, makamanda msikilizeni Kwa umakini mjifanyie tathmin before it's too late, CHADEMA untill when will you keep on running and running and running away?just know that you can't run away from your self,you can't run away from the truth.
Soma Pia: Mchungaji Msigwa: Wanaosema msitoke CHADEMA kwakuwa kuna future ni uongo mtupu, wao wenyewe hawana hiyo future
Because in the modern politics everyone thinks that his burden is the heaviest, but MSIGWA was not the burden to you CHADEMA.
Lile rungu la Cyprian Musiba kwa Bernard Membe limemlamba Msigwa,Kwa taarifa yako, hakuna chama kitashindwa kuongoza nchi hii, maana hata ccm haiko madarakani kwa sera, bali kwa business as usual.