Pre GE2025 Mch Msigwa: Mbowe na CHADEMA hawana tena ujumbe kwa Watanzania

Pre GE2025 Mch Msigwa: Mbowe na CHADEMA hawana tena ujumbe kwa Watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema ni bland ikikupiga chini unapoteana mazima ,Msigwa kwa sasa kila anaposhika hapashikiki
Friends and Enemies,

Akiongea katika mahojiano yake na Salim Kikeke kupitia kipindi Cha kasri la Kikeke kinachorushwa na Crown Tv.

Mchungaji MSIGWA amesikika akizungumza Kwa hisia Kali kuwa kitu kingine kilichomuondoa CHADEMA ni Kwa chama Hiko kukosa muelekeo na dira.

Kwa Mfano anasema,mbowe amekuwa anatuandamanisha zaidi ya kilometer 20. Cha ajabu tukifika mwisho wa maandamano tumekusanyika kumsikiliza Hana message.

Anaishia tuh kusema eti kunja ngumiii, kunja ngumi for god's sake tukunje ngumi ili iweje?

MSIGWA ana UJUMBE, makamanda msikilizeni Kwa umakini mjifanyie tathmin before it's too late, CHADEMA untill when will you keep on running and running and running away?just know that you can't run away from your self,you can't run away from the truth.

Soma Pia: Mchungaji Msigwa: Wanaosema msitoke CHADEMA kwakuwa kuna future ni uongo mtupu, wao wenyewe hawana hiyo future

Because in the modern politics everyone thinks that his burden is the heaviest, but MSIGWA was not the burden to you CHADEMA.
 
Lile rungu la Cyprian Musiba kwa Bernard Membe limemlamba Msigwa,
Kesi ya defamation ina pande mbili tu ulete uthibitisho kuwa Mbowe alifanya, ukishindwa 5B.
Afu wanasheria wa Chadema wanajua sheria utadhani sheria walizianjisha wao,
Mdomo uliponza kichwa 😂😂
Wakikuletea list of shame? Tusikimbiane tu
 
Lile rungu la Cyprian Musiba kwa Bernard Membe limemlamba Msigwa,
Kesi ya defamation ina pande mbili tu ulete uthibitisho kuwa Mbowe alifanya, ukishindwa 5B.
Afu wanasheria wa Chadema wanajua sheria utadhani sheria walizianjisha wao,
Mdomo uliponza kichwa 😂😂
Mangi angejibu hoja kwanza Mkuu

Nia yake ni kufia madarakani?

Sasa hiyo Demokrasia na maendeleo anayoihubiri ni ipi?...
 
Chadema ni bland ikikupiga chini unapoteana mazima ,Msigwa kwa sasa kila anaposhika hapashikiki
COVID 19 waliwapiga chini kwani wamepoteana?

SI wale Bado wanadunda na Ruzuku wao wenyewe CHADEMA wanachukua Kwa mgongo wao.
 
Back
Top Bottom