Pre GE2025 Mch Msigwa: Mbowe na CHADEMA hawana tena ujumbe kwa Watanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ili kuwazindua wengine ambao Bado mpo kwenye Mbowe's captivity ni lazima awaeleze why alihama huko,na Yale ambayo aliwaaminisha kipindi yuko kule awaeleze kuwa hayakuwa ya kweli.
Kwahiyo unaamini kuna aliyesubiri Msigwa ahame chama kwa jazba ndio awafunue watu macho? Ni kipi cha siri ndani ya cdm ambacho watu hawajui ila walisubiri kwa Msigwa?
 
Sijui kwa nini nahisi Msigwa yupo ccm kimkakati,sina uhakika kama ana mapenzi na ccm
 
Kwamba unahisi Jeshi litawatumikia Chadema? Hizi akili kuna namna kinywaji kikali kipo kwenye damu. Lakini pia hivyo tu inaonesha Chadema hawana cha kufanya. Machafuko hamuwezi kufanya na wala mapunduzi hamuwezi kufanya. Just nothing. Mdomo tu
 
Mangi eti apigiwe salute na JWTZ?
 
Kwahiyo unaamini kuna aliyesubiri Msigwa ahame chama kwa jazba ndio awafunue watu macho? Ni kipi cha siri ndani ya cdm ambacho watu hawajui ila walisubiri kwa Msigwa?
Kwani MSIGWA ni WA kwanza kuelezea JINSI Mangi alivyopanga kufia madarakani?

Mbona tokea enzi za marehemu chacha wangwe,ikaja Kwa Zito kabwe,Kitila Mkumbo na kadhalika?

Hilo ni jambo ambalo liko wazi kitambo tuh.
 
Kwamba unahisi Jeshi litawatumikia Chadema? Hizi akili kuna namna kinywaji kikali kipo kwenye damu. Lakini pia hivyo tu inaonesha Chadema hawana cha kufanya. Machafuko hamuwezi kufanya na wala mapunduzi hamuwezi kufanya. Just nothing. Mdomo tu
Ni kweli, hata Sudan hapo walikuwa maiti hai kuliko sisi, Elibashir akawaongoza kama wake zake, unajua nini kilimtokea? Kwa sasa ni historia.
 
Ni kweli, hata Sudan hapo walikuwa maiti hai kuliko sisi, Elibashir akawaongoza kama wake zake, unajua nini kilimtokea? Kwa sasa ni historia.
Unalinganisha TZ na Sudan? Umekatwa Kichwa au
 
Ni sawa Mke aliyeachwa kuanza kumsema vibaya aliyekuwa mumewe. Ni tabia mbaya katika ustaarabu wa binadamu.
 
Unalinganisha TZ na Sudan? Umekatwa Kichwa au
Hao Sudan wana nini, kama walitawaliwa kibabe miaka 30? Haya ngoja nifananishe na maiti za Zimbabwe chini ya Mugabe. Haya rudisha kichwa changu ulichokikata.
 
Kwa taarifa yako, hakuna chama kitashindwa kuongoza nchi hii, maana hata ccm haiko madarakani kwa sera, bali kwa business as usual.
Lile rungu la Cyprian Musiba kwa Bernard Membe limemlamba Msigwa,
Kesi ya defamation ina pande mbili tu ulete uthibitisho kuwa Mbowe alifanya, ukishindwa 5B.
Afu wanasheria wa Chadema wanajua sheria utadhani sheria walizianjisha wao,
Mdomo uliponza kichwa 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…