Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

Ukubwa wote hana akili ya kujua dynamics za siasa? Mtu mwenye akili timamu hawezi kutia kwenye kitanzi cha ahadi uchwara kama alivyofanya. Atakuwa na upeo mdogo sana wa kuchanganua mambo.
 
Ukubwa wote hana akili ya kujua dynamics za siasa? Mtu mwenye akili timamu hawezi kutia kwenye kitanzi cha ahadi uchwara kama alivyofanya. Atakuwa na upeo mdogo sana wa kuchanganua mambo.
Mkuu wakati mwengine siasa haitaki ukweli hata kama unauona dhahiri, Lisu aliulizwa kama akishindwa nafasi ya uenyekiti atahama Chadema, unadhani kisiasa alitakiwa kujibu nini? Je siku Lisu akihama Chadema tutasema Lisu hana akili ya kujua dynamics za siasa?
 
Kwa kauli zake(recently) mental health yake unaonaje?
 
Huyu hawezi hama ni mmojawapo wanaosababisha ruzuku iishie kwa wachache isifike nchi nzima, yupo kwenye payroll ya Mbowe, hata ujio wa Lowassa alilamba mshiko mrefu, ila ukimfatilia maongezi yake huwa kichwani ni mtupu sana.
.............
nilipost nikiwa wa 1. tafakari miaka 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…