Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

Baada ya purukushani za uchaguzi ndani ya chadema Mchungaji Msigwa kaingia zake CCM. Ila tukumbuke 2017 Msigwa alisema akihamia CCM siku yoyote nyumba na magari yake yachomwe moto.

Vipi huko mmeshaenda kuchoma?
20240701_070535.jpg

 
Utashangaa anakindwa na hawataki asogelewe....siri zote hafi sasa ameshawapa huyu alikuwa mjumbe kamati kuu.....
 
Kauli ya mwaka 2017 hiyo,Chadema ya kipindi hiko sio Chadema ya sasa. Siku hizi vijana wanapenda kuvaa nguo za UVCCM. Kipindi Msigwa anatoa kauli hiyo ujanja ilikuwa ni kuvaa Combat za Chadema. Kosa la Msigwa hapo ni kushindwa kutabiri anguko la Chadema miaka michache mbele,nani atamlaumu?
 
Usichukue maamuzi ukiwa na hasira,
wala usitoe ahadi ukiwa na furaha,

Yangu ni hayo tu,

kwenu watu wa Daslam 🎤
Asante Sana The Ice breaker.
Kwetu watu wa Dar Si Salama hali si shwari .
Tumeamka na Majonzi ya Msiba wa Mwananchi .
Endeleeni kufanya kazi tujenge Uchumi.

Kwako Studio barabara ya Nyerere
 
Huyu alikuwa muuza mitumba..alipata ubunge jwa bahati mbaya bahati ya mwakalebela kukatwa kwenye kura za maoni 2010..ule mpasuko wa ccm watu wakampigia kura yeye..2015 akatembelea upepo wa lowasa baada ya mpasuko mkubwa ngazi ya taifa..
 
Baada ya purukushani za uchaguzi ndani ya chadema Mchungaji Msigwa kaingia zake CCM. Ila tukumbuke 2017 Msigwa alisema akihamia CCM siku yoyote nyumba na magari yake yachomwe moto.

Vipi huko mmeshaenda kuchoma?
View attachment 3030238
View attachment 3030240
Kila neno lililonenwa kutoka katika kichwa chake lazima litimie....

Maneno haya yatamla pasipo hata yeye kujua kuwa kinachomtafuna katika maisha yake, watoto wake na kizazi chake ni matunda ya maneno ya kinywa chake...

Hata hivyo Mungu Yehova ni wa rehema na ni mwenye huruma nyingi. Anaweza kutubu na kutangua maneno yake na Mungu atamsamehe.

Amwambie tu Mungu kuwa, maneno haya niliyatamka katika ujinga na upumbavu wangu. Mungu baba wa mbinguni nisamehe...

Bila kufanya hivi, basi ajue tu kuwa, the price of each said words has to be dearly settled kwa sababu Mungu aliyetuumba huangalia neno lake ili apate kulitimiza..!
 
Back
Top Bottom