Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

Msigwa,just piece of advice,

usitoe statement kama hizi..........

watu huwa wanafanyaga kwelii....

watu wa kawaida watachoma vitu vyako,udhanie ni adui zako kisiasa,

kuna watu mapsycho,huwa wanaafutaga tu reason ya kufanya jambo baya
Gen Z
 
“Nikihamia CCM wananchi wa Iringa wachome nyumba yangu na magari yangu. Sikuingia bungeni kwa sababu nataka hela ila nimeingia kwa sababu kuna hoja, kuna agenda na kozi kama chama tunapigania. Mkome kabisa kunipigia simu, mimi sina bei itakayonihamisha CHADEMA,” amesema Msigwa huku akifafanua jinsi watu hao walivyoanza kumrubuni kwa njia ya simu.
Wajomba fanyeni kweli tunawategemea anzeni na nyumba kisha mmalizie na Magari, kauli hii isiende bure bila vitendo
 
Magari gani wachome sasa? Msimu mmoja tu nje ya Bunge ubongo ukahamia tumboni, na tumbo likahamia kichwani.
Njaa mbaya sana.
 
Back
Top Bottom